JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Mkuu, hilo linawezekana endapo fuse husika ni ya aina moja yaani moto unaotoa. Kwa mfano unakuta fuse ya taa ni kubwa kuliko ya radio au fuse ya starter ni kubwa, slot compartment haiingiliani labda moja ni kubwa nyingine ni ndogo, kwa vyovyote unaweza kulala kizembe tu njiani na usiamini kilichotokea
Toyota ndio nimeona anatumia fuse za aina mbili. Yale makubwa na tule tudogo.
Kwa RR nimekutana na L322 na L405...
RR inafuse box 3.... Ila fuse box yenye fuse nyingi ni ile ya mbele ndani kwenye glove box... Lakini fuse zake zote zinafanana kwa size.... Tofauti labda ipo kwenye current.... Lakini lazima upate fuse walau mbili tatu ambazo zinafanana kwa kila kitu.