Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?

Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?

Mkuu, hilo linawezekana endapo fuse husika ni ya aina moja yaani moto unaotoa. Kwa mfano unakuta fuse ya taa ni kubwa kuliko ya radio au fuse ya starter ni kubwa, slot compartment haiingiliani labda moja ni kubwa nyingine ni ndogo, kwa vyovyote unaweza kulala kizembe tu njiani na usiamini kilichotokea

Toyota ndio nimeona anatumia fuse za aina mbili. Yale makubwa na tule tudogo.

Kwa RR nimekutana na L322 na L405...

RR inafuse box 3.... Ila fuse box yenye fuse nyingi ni ile ya mbele ndani kwenye glove box... Lakini fuse zake zote zinafanana kwa size.... Tofauti labda ipo kwenye current.... Lakini lazima upate fuse walau mbili tatu ambazo zinafanana kwa kila kitu.
 
fuse 2.jpg



RR L322

Hebu mtu anioneshe hapo fuse ambayo ina current rating ya pekeyake...

Plus spare fuse zinakaa kwa pale juu.
 
Zikisha hit soko vizuri utaona watu wanavyokazana kuzinunua yani😅! Kama IST hivi.

Kinachowachelewesha Toyota kuna mabetri wanatest sahizi yakikaa vizuri ndio wayaingize kwenye production. Yani gari ziwe na range kubwa! Ukipata gari ambayo itakupa hata kilometre 500 kwa single charge sio mbaya!

Mfano unatumia unit 50 kujaza gari lako umeme ni kama elfu 20 tu! Ila utatembelea 500km means ni kama week nzima huoni huo kama ni unafuu mkubwa sana kwenye uendeshaji? Pili hamna gharama za kubadili oil na filter! Brake pad zinachukua muda sana kubadilishwa sababu hazitumiki muda wote.

Gari uendeshaji utakuwa na unafuu mkubwa sana.
Tatizo hizo teknolojia zinavyozidi kwenda mbele ndio umayai unazidi, sidhani kama zitakuwa roho ya paka kama hizi tunazovimva nazo za mwaka 1990 mpaka 2000s, unaweza dumbukiza ev kwenye dimbwi ndio inapiga shoti unaambiwa ibadilishwe mfumo mzima, na mafundi wetu ukiwafuata wanakuambia tatizo hii inatumia umeme mwingi😆
 
Fear of the unknown wakati mwingine hushawishi kitu cha kufanya, prestige hali kadhalika. Prestigious people wapo na wataendelea kuwepo, Premium pricing ipo, highly knowledgeable buyers wapo and the opposite, durability, fuel consumption, managing spare parts and maintenance cost, ROLE of influencers on decisions.

Open for thoughts, learning is expensive but regrets are deadly.

I submit with no synchophant claim.
 
Basi utulie mama.....
kaa kwa kutulia
Umekosa sana heshima kwa binadamu wenzako. Wewe ndo jitathmini kisha utulie.

Umekurupuka tu ooh, mm nikikuona na hiyo gari nakutongoza🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Aliyekuambia natumia hiyo gari ni nani? Tulia na Jifunze kuheshimu binadamu wengine.
 
Umekosa sana heshima kwa binadamu wenzako. Wewe ndo jitathmini kisha utulie.

Umekurupuka tu ooh, mm nikikuona na hiyo gari nakutongoza🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Aliyekuambia natumia hiyo gari ni nani? Tulia na Jifunze kuheshimu binadamu wengine.
Nakuheshimu sana mama shkamoo
 
Binafsi mm ni mapenzi sana wa gari za ulaya ila nakubaliana na wewe ndio maana kwangu lazima kuwe na toyota.

Naiamini zaidi TOYOTA si kwenye kuuzwa bali hata safarini. Mfano range ni zuri hapa mjini lina status yake na sijui kwa nini ila lina influence sana unapokutana na mtu kufanya biashara mara nyingi inawork endapo unayetaka kufanya nae biashara ataona usafiri wako....... SIJAJUA NI KWA NINI.

ila ukisafiri nalo fuse tu ikikata unalala ilipozimikia.
🤣🤣🤣 migari ya kizungu ni ya kupigia picha tu. Nashangaa baadhi ya watu wanavyoshoboka humu
 
Hahahahahahah yani Toyota ikiwa na matatizo mengi utakuta ni shockup mounting na bush tena ikiwa jamii ya corrola hapo ukijipiga walau na ka laki 6 unaenda nyofoa vyote vibovu unapachika vipya unakuta umesolve 80% ya matatizo kama sio 100%!

Mjerumani akiwa na similar issues kwanz gari inaweza ikawa imegoma kutembea😅 kabisa! Kama inatembea basi dashboard imependeza. Kwenda kufuta majanga yote na repairs ukichapishiwa mkeka unaweza ukasema acha ipaki tu ntatumia ist!
Mjerumani akianza kuchoka utakuta dashboard inameremeta kama mti krismas hapo lazima kichwa kiume hasa kama una hela ya mawazo
 
Mjerumani akianza kuchoka utakuta dashboard inameremeta kama mti krismas hapo lazima kichwa kiume hasa kama una hela ya mawazo
Na ndo maana nyingi zinakufa engine au gear box cause marekebisho kdg ambayo Ni sensitive Ni gharama Sasa mtu analiburuza hivo hivo mwsho wasiku linakufa wanayatupa kwa mil2 - 3
 
Hii gari kwangu mimi haina mvuto siwezi kung'oa demu kizembe zembe na carina road
kila mtu ananunua gari kwa malengo flani
ndio sababu huwezi kuta "bishoo" anamiliki hii gari.

wewe chunguza sura au kaliba za wanaomiliki toyota carina, wazungu wanasema matured. Uliwahi kujua kitambo kidogo kabla ujio wa piki piki aina ya boxer, hizi gari ndio zilikua za "wazee wa kazi"? Jiulize kwanini hehehehe.

Nyie wa Alteza, Brevis, Crown na nyinginezo endeleeni kutunyoosha highways kwa maana sisi tunawasubiria pale lami inapoishia hasa nje ya miji.
 
Wasikutishe kwamba watakunyoosha highway hasa huyu alteza . Kumbuka zote maximum speed ni 180kmh utofauti ni muda gari inatumia ku attain hiyo speed... (Duration to attain a certain speed, kifupi tuseme acceleration) kutokana na ukubwa injini probably na how fast gearbox is shifting gears these mentioned cars can accelerate very fast to attain their maximum speed limit. Lakini hata wewe wa carina unaweza kuwakimbiza vilevile unless huna confidence.. kumbuka gari inaweza kua na injini kubwa but body weight ikalifanya lichelewe kuchanganya.. so unaweza kuta crown ina accelerate fast lakini na wewe wa carina ukampita mtu wa crown at the beginning kwakua body weight yako ni ndogo... So mambo ya acceleration na maximum speed yapo very subjective kwenye magari..

Unaweza shangaa mtu ana vitz ya 1.3L na gearbox ya CVT akakunyoosha wewe na alteza yako tehtehteh.. kwahiyo bwana usiwe mnyonge.

Note;you want reliable, predictable, durable, dependable, easy to fix, bullet proof, budget car go for TOYOTA, the rest are piece of junk and money pits..

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Probox shape yake sio kabisa...Carina ina muonekano flani mzuka sana.
Carina ni gari nzuri sana ikiwa comfortability siyo issue. Changamoto ni bei zake kubwa, wakati mwingine zinaendana bei au kuzizidi SUV hasa zikiwa kwenye grade nzuri.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] In fact Watu huwa hawapangiwi preferences,bali hujipangia wenyewe kwendana na mahitaji yao and other unique factors.The reality ni kwamba 70 plus percent ya magari yanayotembea Tanzania ni ya miaka ya nyuma,and the rest percentage wengi ni well off. This is not about mindset sometimes;i'ts all about capacity.
90%
 
Mkuu mie pia nali toyota naburuza na haya mamvua madimbwi kibao nawaza je ingekuwa BMW si ningekuwa nishanunua mwamvuli sahizi[emoji28] natembea nao.

That rig wont break inanisevu sana na still inadai service kuna bush imechoka on the right front wheel inagonga ila it keeps going anytime from now ntabadilisha. Sina presha maana haitatokea gari igome kwenda.

Ukiangalia namba A corrolla zimefubaa mabodi ila gari ikiwashwa ni jino moja tu[emoji28]. Ntaftie BMW ambayo ilinunuliwa same year na Corrolla mbona hatuzioni barabarani?
Corolla unaweza ukaamua tu kuipeleka garage hata kama sio mbovu..ili mradi walicheki cheki tu..laki tano unaeza ukaifunga huko chini kusitoe hata mlio mmoja
 
Back
Top Bottom