Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia google utasaidika kwa haraka zaidiKama inavyojieleza hapo juu simu yangu nimesahau pattern na sitaki kufuta vitu vilivyomo, msaada kama naweza kuifungua
Unataka akutumie Bluetooth?Data ipo on au wifi?
Hapana. Nataka anitumie ripoti yako ya X-RAY tujue kama una ubongo au matope.Unataka akutumie Bluetooth?
Yes ni ya kwangu ndio maana sijataka kureset factoryUna uhakika hiyo simu ni yako?
Kichwani umebeba Mavi jiangalie vizuri UBONGO wako umejaa kinyesi kitupuHapana. Nataka anitumie ripoti yako ya X-RAY tujue kama una ubongo au matope.
Sihami JF jamaniHapana. Nataka anitumie ripoti yako ya X-RAY tujue kama una ubongo au matope.
Mwl mshana jr, nipo chini ya miguu yako, simu yangu samsung z fold 2 haifanyi kazi kwenye ssd code ukipress mfano menu ya huduma inagoma labda *102# pekee ndio inakubali, naomba msaadaIngia google utasaidika kwa haraka zaidi
Disable mobile tracker.Mwl mshana jr, nipo chini ya miguu yako, simu yangu samsung z fold 2 haifanyi kazi kwenye ssd code ukipress mfano menu ya huduma inagoma labda *102# pekee ndio inakubali, naomba msaada
Shukrani mkuu,ngoja nijaribuMwl mshana jr, nipo chini ya miguu yako, simu yangu samsung z fold 2 haifanyi kazi kwenye ssd code ukipress mfano menu ya huduma inagoma labda *102# pekee ndio inakubali, naomba msaada
Kama umesahau patten si kuna option ya kutia pin?Kama inavyojieleza hapo juu simu yangu nimesahau pattern na sitaki kufuta vitu vilivyomo, msaada kama naweza kuifungua
Yes ni ya kwangu ndio maana sijataka kureset factory