Ni biblia potovu za makanisan8 na fafanuzi za uongo ....kuna siku kulikuwa na mjadala hapa jf kuhusu amri ya ,waheshimu baba yako na mama yako ...mimi nikawaambia wakristo kuwa wameipotosha maana hiyo amri wakabisha ....nikawaambia tena kuwa hakuna mkristo wa makanisani anaye jua maana ya amri 10 wakabisha ...basi nilicho fanya ni kuwauliza swali moja tu kuhusu amri 10 za mungu ....wote wakakimbia uzi ...wakabaki wasikilizaji tu kwenye ule uzi hadi wasikilizaji wakashangaa wakawa wanawaita wakristo kuja kutoa jibu hakuna aliye kuja na uzi ukafa.Ok twende kazi
Biblia kuna vitu imevisema ambavyo kiuhalisia ni vigumu kuvichukua kama vilivyo.. tukihoji tunaambiwa mambo ya roho mtakatifu, kama ni hivyo kwanini iliandikwa kwa wanadam?
Hata mara mia tisa.Lakini,Kama mbichwa wako ni boga bovu utabaki hivyohivyo unauliza maswali ya kipumbaff!Nisome biblia mara ngap?
Nadhani tunashindwa kuelewanaNi biblia potovu za makanisan8 na fafanuzi za uongo ....kuna siku kulikuwa na mjadala hapa jf kuhusu amri ya ,waheshimu baba yako na mama yako ...mimi nikawaambia wakristo kuwa wameipotosha maana hiyo amri wakabisha ....nikawaambia tena kuwa hakuna mkristo wa makanisani anaye jua maana ya amri 10 wakabisha ...basi nilicho fanya ni kuwauliza swali moja tu kuhusu amri 10 za mungu ....wote wakakimbia uzi ...wakabaki wasikilizaji tu kwenye ule uzi hadi wasikilizaji wakashangaa wakawa wanawaita wakristo kuja kutoa jibu hakuna aliye kuja na uzi ukafa.
Ukienda kisiwa ambacho watu waishio huko wote hawana maskio isipokuwa wewe tu ndo unayo maskio bila shaka jamii hiyo itakuona wewe mwenye maskio kuwa ni kilema ama unamatatizo ya kiAfya. The same kwa watu wanaozaliwa na vidole sita huwa tunawaona wanamatatizo kwasababu asilimia kubwa kwenye jamii tuna vidole vitanoHata mara mia tisa.Lakini,Kama mbichwa wako ni boga bovu utabaki hivyohivyo unauliza maswali ya kipumbaff!
Ndiyo na nioisha wajibu watu wengi humu ...tatizo lao ni akili zao ndogo hivyo wanashindwa kufumbua logic za mafundisho ya biblia ....Nadhani tunashindwa kuelewana
Wewe hoja yako ni ipi?
Bibilia iko sahihi kila kitu?
Ukienda hicho kisiwa cha kipumbaff ambacho watu wake hawana (Zingatia neno hawana)masikio,hao ni vilema.Usiremberembe.Wewe ni kipumbaff tu.Usitafute excuses!Ukienda kisiwa ambacho watu waishio huko wote hawana maskio isipokuwa wewe tu ndo unayo maskio bila shaka jamii hiyo itakuona wewe mwenye maskio kuwa ni kilema ama unamatatizo ya kiAfya. The same kwa watu wanaozaliwa na vidole sita huwa tunawaona wanamatatizo kwasababu asilimia kubwa kwenye jamii tuna vidole vitano
I hope utakua umejua nini nimemaanisha
Ngoja tuanze na maswali mepesi kwanzaNdiyo na nioisha wajibu watu wengi humu ...tatizo lao ni akili zao ndogo hivyo wanashindwa kufumbua logic za mafundisho ya biblia ....
Bila shaka kichwa chako ni mzigo mzito unaoutesa mwili, wakati wenzio tunapewa ubongo wewe ulikuwa wapi?Ukienda hicho kisiwa cha kipumbaff ambacho watu wake hawana (Zingatia neno hawana)masikio,hao ni vilema.Usiremberembe.Wewe ni kipumbaff tu.Usitafute excuses!
Mwanadamu haundwi na Vitu 2.Labda nikufafanulie kidogo ili twende sawa
Mwanadamu anaundwa na vitu viwili vikuu
1.roho(pumzi)
2.mwili
Roho ya mwanadamu haina uwezo wa kujigawa mara mbili.
Yohana alibeba roho ya elia(maana yake roho ya elia imewahi kukaa kwenye miili miwili ya kibinadamu)
Wakati musa na elia wamekuja bado yohana alikua yupo hai
Nilikuwa wa kwanza kuchagua ubongo mzuri na nikawa monitor wenu.Ndiyo maana haukunikuta kwenye msururu wenu wa kipumbaff.Bila shaka kichwa chako ni mzigo mzito unaoutesa mwili, wakati wenzio tunapewa ubongo wewe ulikuwa wapi?
Ukienda dubai na ukachukua kipande cha gazeti la michezo na kuja nacho hapa nchini, ikitokea kwa bahati mbaya ukakichoma kile kipande kidogo cha gazeti ambacho kimeandika kwa lugha ya kiarabu na watu wa dini fulani wakakuona bila shaka utaingizwa kwenye matatizo kwamba umechoma maneno matakatifu hata kama hawajui ni nini kilichoandikwaWakristo hamuwezi mkaongelea dini yenu bila ya kuukashifu Uislamu kwenye mada zenu?
Jibu ufunuo ni fumbo au siyo fumbo ?kama ni fumbo basi ukutumia akili kuuliza swali kama ilo, maana hata yesu aliwaambia watu kuwa wasipo kula mwili wake na kuinywa damu yake awawezi kuingia peponi...ila kama ufunuo siyo fumbo basi ninatakiwa kukupa jobu la ilo swali kama ulivyo uliza ...pia peponi wanaingia watakatifu kabla ya hayo makabila 12 ya Israel watakatifu walikuwepo je hao watatupwa motoni ..pia unatakiwa kujua jina Israel ni nini na lilitoka wapi?Ngoja tuanze na maswali mepesi kwanza
Ukisoma kitabu cha ufunuo . Yohana alioneshwa mji ule ambao una milango 12 na kila mlango una jina la yale makabila 12 ya wana wa yakobo
Kila kabila litapita kwenye mlango wake
Swali langu je wewe mkinga utapita kwenye mlango gani? Au tutalazimisha tupite kwa walawi?
Nimekuelewa sanaMwanadamu haundwi na Vitu 2.
Mwanadamu anaundwa na Vitu 3.
1. Roho - Spirit.
2. Soul - Nafsi.
3. Mwili - Body.
Na Kila kimoja kinafanya kazi tofauti. Unaonekana unapenda mambo ya Dini, ila unatumia Akili Yako ya kawaida kutaka kuelewa Biblia na mambo ya Kiroho Kwa ujumla.
Maisha ni Roho, na Biblia ni mwongozo wa kuishi Maisha yanayompendeza Mungu kimwili na kiroho.
Kwa Vile Mungu ni Roho na Kila kitu kinachohusiana naye kina Roho, Sasa Kwa Akili tu mtoto mdogo, basi ili kumwelewa Mungu inabidi uingie kwenye Anga zake, uwe mtu wa Kiroho, kuwa mtu wa Kiroho sio kusoma Biblia.
Ndiyo maana Kwa vile Mungu ni Roho, na sisi Binadamu tu Mwili, Nafsi na Roho, na ili Mungu aingie kwenye Anga zetu tuweze kuelewana ama twende sawa, ilibidi ajivue Uungu wake, ashuke Duniani kama Binadamu kupitia Yesu Kristo....!
Ushauri wangu kwako kama unataka kuelewa Mambo ya kwenye Biblia na Ulimwengu wa Roho Kwa Ujumla, alika Roho nyingine iingie ndani Yako, soon Ile Roho ikiingia ndani Yako, itakusaidia kuelewa yote haya, wakati mwingine utashangaa unajiuliza tu jambo ndani Yako, na ghafla tu, ukajikuta unapata majibu ndani Yako, unajikuta unaelewa mambo ya Kiroho bila kufundishwa na Binadamu, Ile Roho unayotakiwa kuikaribisha inaitwa Roho Mtakatifu.
Mimi pia ni Mkatoriki Kwa Asili, lakini kwenye Ukatoriki Kazi za Roho Mtakatifu zimefinywa sana hivi, so Kuna Vitu nikaanza kubadirisha Mimi mwenyewe, mambo za kwenda Kwa Padre kutubu nikaondoa, nikawa nafanya toba straight Kwa Mungu na vitu vingine nikaongeza, zile sala za kukariri nikazitoa, nikaanza kufanya maombi kufunga mfululizo n k...... Kwa Nia kabisa... Then one day....... boom....!
Nikajikuta tu naanza kuelewa Mambo ya kiroho bila kufundishwa, nikajikuta naona vitu ambavyo macho ya kawaida hayawezi kuona, nikajikuta naanza kupata majibu ya maswali mengi niliyokua najiuliza, nikaanza kusikia Sauti ya ndani, Kuna Sauti ikaanza kuongea ndani yangu, nasikia mwenyewe Kwa ndani....!
Ikinikumbusha Kuomba nikisahau, ikinipa vifungu vya kusoma vya Biblia etc.
So kama Lengo lako ni kuijua kweli na sio kuja hapa ili Ubishane, badirisha Mentality Yako, tumia muda wako kumtafuta Mungu, naye atajifunua kwako Wazi Wazi.
Jibu swali wacha mbwembwe.Jibu ufunuo ni fumbo au siyo fumbo ?kama ni fumbo badi ukutumia akili kuuliza swali kama ilo maana hata yesu aliwaambia watu kuwa wasipo kula mwili wake na kuinywa damu yake awawezi kuingia peponi...ila kama ufunuo siyo fumbo basi ninatakiwa kukupa jobu la ilo swali kama ulivyo uliza ...pia peponi wanaingia watakatifu kabla ya hayo makabila 12 ya Israel watakatifu walikuwepo je hao watatupwa motoni ..pia unatakiwa kujua jina Israel ni nini na lilitoka wapi?
Hebu kafie shimoni.Acha ujingaujinga.Inaonekana wewe bila kumkashifu mtu huridhiki kabisa....huko unakoelekea utakuja kunisababishia ban
Hivi unajua Kuna mambo mengi Kanisa linafanya na Mungu hana shida nayo, Yani hayamvutii Mungu....!?Nimekuelewa sana
Sio kwamba roho mtakatifu amefinywa hilo nakataa
Kuhusu swala la toba hata mimi siendagi kitubioni ila sio kama wanakosea watu wanaoenda kutubu
Biblia inasema mtakalo lifunga duniani na mbingu litafungwa pia mtakalo lifungua duniani na mbinguni litafunguliwa kwahiyo naweza kusema kama wakatoriki wamelifungua jambo lao basi hata mbinguni litakuwa limefunguliwa