Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Facts zinaweza kujadiliwa na yeyote mkuu ila hakuna neno nimekuelewa.Mkuu hongera kwakuwa hiyo ni dini yako siwezi tia neno kwasabu ulichofundishwa na kujifunza siwezi kukibalisha mpaka aje yule aliyekufundisha aseme neno ndio utamuelewa
hapa kuna mawil, kama sio macca, huenda ni vatican.Wengine wanasema itakua limefukiwa pale macca
Yote yawezekana kwasababu freemason ilianzishwa na kanisa katoliki ili kutunza mali zake pamoja na kujenga mahandaki ambayo hakuna mtu anaweza kuingia na kutoka bila kuwa na ujuzi wa hilo eneohapa kuna mawil, kama sio macca, huenda ni vatican.
japo hua naskia story yakua, chama cha freemason ndo wanalo na ndo hutumia kufanya makubwa kwan lina siri za Mungu.
In short mwambie kwamba akitaka kuilewa Biblia yeye ajitoe ufahamu awe zuzu, maana kuunganishwa na Roho Takatifu ni "Theomania"...Ukitaka kuielewa biblia lazima kwanza ujue kuwa Mungu yupo ndiye aliumba vitu vyote na kumweka mwanadamu aitawale dunia.Usisome biblia kama kitabu cha hadidhi wala usifanye utafiti wa maneno ya kitabu kama ni kweli au sikweli.Ukifanya hivyo utakosa imani ambayo inatuunganisha na Roho mtakatifu.Kuelewa kunahitaji imani kwanza kwamba Yesu ni mwokozi wetu.
anhaa kumbe, bas yawezekana freemasons walilitapeli kwa kanisa katorik walipojitenga na kuanzisha chama chao.Yote yawezekana kwasababu freemason ilianzishwa na kanisa katoliki ili kutunza mali zake pamoja na kujenga mahandaki ambayo hakuna mtu anaweza kuingia na kutoka bila kuwa na ujuzi wa hilo eneo