I icon_2000 Senior Member Joined Jul 14, 2024 Posts 177 Reaction score 256 Oct 22, 2024 Thread starter #21 Kama umepata napo 100%
DUBULIHASA JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 4,446 Reaction score 8,215 Oct 23, 2024 #22 Nikisikia neno ARIS mpaka tumbo linangurumu ingawa ni miaka zaidi ya kumi imepita... LL 214 ilibaki kidogo unibakishe Udsm!...
Nikisikia neno ARIS mpaka tumbo linangurumu ingawa ni miaka zaidi ya kumi imepita... LL 214 ilibaki kidogo unibakishe Udsm!...
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Oct 23, 2024 #23 icon_2000 said: Apo kwenye student RegNo unaeeka zipiView attachment 3130859 Click to expand... Aris huwa kizungumkuti hasa wakati huu wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Nenda kwa IT wa chuo
icon_2000 said: Apo kwenye student RegNo unaeeka zipiView attachment 3130859 Click to expand... Aris huwa kizungumkuti hasa wakati huu wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Nenda kwa IT wa chuo