Naombeni msaada mwanaume maziwa kuongezeka kuwa makubwa.

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Mimi ni kijana wa kiume umri wa miake 26 ni na uzito wa kilo 62. Tatizo linalinipatani kuwa kadri muda unavuokwenda maziwa yangu yanazidi kuongeza hali inayonikosesha sana amani hata kuvua shati mbele za watu.

kiujumla mwili wangu ni mwembaba wa wastani ila maziwa tuu ndo yanakuwa yakiongezeka. natumia sana vyakula vya asili kama dona maziwa karanga na viazj vitamu. Tatizo hili limeanza mkaka 3 iliyipita na nimajaribu kufanya mazoezi, sjjapata matokeo chanya...

Naombeni ushauri wa kitaalam nifanyaje?.
 
Duh[emoji55]
Inategemea na mazoezi unayofanya jaribu kuruka kamba,push ups usile vyakula vya supermarket,Vyakula vilivyokaa sana kwenye friji, kunywa maji kwa wingi lita 4 kwa siku mpaka 5
 
Pole sana kaka yangu
Tuwasubiri wataalamu wanakuja
Na majibu mazuri.
 
Duh[emoji55]
Inategemea na mazoezi unayofanya jaribu kuruka kamba,push ups usile vyakula vya supermarket,Vyakula vilivyokaa sana kwenye friji, kunywa maji kwa wingi lita 4 kwa siku mpaka 5
hapana situmii mkuu then nipo Iringa vijijini hata upatikanaji wake ni taabu sana
 
Labda unabalehe tena.
 
Nenda hospital ndugu yangu maana si hali ya kawaida usifanye mzaha maana utaanza kugombania sidiria madukani usipokuwa muangalifu
 
Tatizo lako linaitwa gynecomastia

Gynecomastia is swelling of the breast tissue in boys or men, caused by an imbalance of the hormones estrogen and testosterone. Gynecomastia can affect one or both breasts, sometimes unevenly. Newborns, boys going through puberty and older men may develop gynecomastia as a result of normal changes in hormone levels.

Inamaanisha kuota kwa maziwa uoande mmoja au yote na inasababishwa na hormonal imbalances maana mwanaume ana testosterone ambayo ni ya kiume ndyo iliyo kwa wing na pia mwanaume ana estrogen hormine ya kike ila mwanaume anatakiwa kuwa na idadi kubwa ya Testosterone sasa ikipunguwa inafanya estrogen kuongezeka na kuleta jinsia za kike kutokana na *Obesity*,*kula mla ambao sio wa afya*, mabadiliko ya mwili na kazalika
 
hapana mkuu mwili ni mwembaba na urefu ni cm 182
Si inasemwa kwamba kuna wanaochelewa kubalehe. Kuna mtu nilishamuona akiwa hivyo ila sasa hana hiyo hali tena, ila yeye ilimtokea akiwa dogo sasa ni mtu mzima.
 
Mkuu kuna madaktari kutoka nje ya nchi ambao huja kila mwaka nadhani na hufanya hizo operation.

Mwaka huu walikuwa pale bombo hospitali, Tanga nafikiri mwezi wa tano.

Walifanya operation za aina hiyo kwa wanaume na pia watoto walio na mpasuko mdomoni.

Wanakuja lini tena sijui. Ila ni muhimu ukaenda hospitali waku asses na kukushauri. Omba kumwona Dr. Bingwa wa upasuaji.
 
asante mkuu
 
suluhisho mkuu au dawa yake nn?
 
suluhisho mkuu au dawa yake nn?
Madaktar wengi wanashaur mazoez(viungo mwili mzma na chuma pia upande wa chest mgongo na sehem nyngne za mwili),kupunguza stress, kula mlo kamili Carbohydrates,kupata mda wa kutosha kupumzika(kulala) huo ndo kwa ushaur wangu mkuu
 
Madaktar wengi wanashaur mazoez(viungo mwili mzma na chuma pia upande wa chest mgongo na sehem nyngne za mwili),kupunguza stress, kula mlo kamili Carbohydrates,kupata mda wa kutosha kupumzika(kulala) huo ndo kwa ushaur wangu mkuu

Ushauri mzuri.

Akiingia internet kuna videos zinazo onyesha mazoezi tofauti ya kuburn fat kifuani. Ila kama tatizo lake ni kubwa hamna namna ni operation ya kukwangua excess fat.

Utatobolewa tundu dogo tu, halafu Dr. anakuwa kama anapiga msasa na kachuma karefu kuondoa mafuta. Lisaa limoja linatosha kufanya hiyo kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…