kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Mimi ni kijana wa kiume umri wa miake 26 ni na uzito wa kilo 62. Tatizo linalinipatani kuwa kadri muda unavuokwenda maziwa yangu yanazidi kuongeza hali inayonikosesha sana amani hata kuvua shati mbele za watu.
kiujumla mwili wangu ni mwembaba wa wastani ila maziwa tuu ndo yanakuwa yakiongezeka. natumia sana vyakula vya asili kama dona maziwa karanga na viazj vitamu. Tatizo hili limeanza mkaka 3 iliyipita na nimajaribu kufanya mazoezi, sjjapata matokeo chanya...
Naombeni ushauri wa kitaalam nifanyaje?.