Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Habari za muda huu wakuu, hili imeanza muda lakn sasa hivi imeshika kasi, yani ipo hivi naweza kuwa nimelala au nimekaa au nafanya mishe yeyote lakini ghafla nikapata mshtuko hadi watu wa karibu wanauliza nashtuka nini.
Mimi mwenyewe nashangaa kwanini nimeshtuka na hakuna hali yoyote ya hatari na wala sioti ndoto mbaya. Msaada wajuzi tatizo linaweza kusabisha na nini?
Mimi mwenyewe nashangaa kwanini nimeshtuka na hakuna hali yoyote ya hatari na wala sioti ndoto mbaya. Msaada wajuzi tatizo linaweza kusabisha na nini?