Naombeni msaada ndugu zangu wa J.F

Machuchu

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
1,260
Reaction score
965
Za leo.
Husika na kichwa cha habari kama hapo kinavyosema,
Mimi nina zaidi ya miaka mingi Sinywi maziwa ni kinywaji ambacho nimejitahidi kukinywa ila nimeshindwa kabisaaaaa.....nikinywa natapika sana, nikajaribu njia ya kuywa nimefumba macho pia ikanishinda.

Imefika stage hata chombo kilichopikiwa maziwa au kikombe nikikitumia natapika sana, wengi wanasema maziwa ni mazuri kwa afya haswa kwa kuondoa sumu mwilini na kujenga afya

Je nikitu gani kinaweza nisaidia badala ya maziwa? Kazi zangu zina shauri niwe nakunywa maziwa baada ya kazi. Na wengi wanasema maziwa mazuri ni yale fresh na siyo ya unga, na hata ya unga nilijaribu yakanishinda.

Naombeni msaada msinidharau wala msinikebehi wala kunidhihaki.
 
Tumia mboga za majani, matunda na mayai, mimi ngoja nifuatilie majadiliano ya Serikali na accacia kuhusu makinikia
 
kunywa bia kwakua itakuongezes furaha na kukufanya usahau stress zako kwa muda huo.......mbona mi sinywi maziwa na maisha yanaenda kama kawa..... acha uoga karibu kwenye bia uchangie pato la taifa onyesha uzalendo kwa nchi yako
 
Kula products nyingine kama cheese na yogurt lakini cheese inafunga choo ule na matunda pamoja na mboga mboga
 
Kwanza kabla ya ushauri naipenda sana Avatar yako.Huwa napenda kuitazama mara kwa mara.Pili je ni kila aina ya maziwa inakushinda?Hadi ya kopo?Nadhani juisi ya kusaga inaweza kuwa mbadala bora kabisa wa maziwa hasa juisi ya parachichi.
swali la uhalisia,je wewe ni me au ke.
 
kunywa bia kwakua itakuongezes furaha na kukufanya usahau stress zako kwa muda huo.......mbona mi sinywi maziwa na maisha yanaenda kama kawa..... acha uoga karibu kwenye bia uchangie pato la taifa onyesha uzalendo kwa nchi yako
Kahawa ilinishinda kabisaaaa
 
Tumia mboga za majani, matunda na mayai, mimi ngoja nifuatilie majadiliano ya Serikali na accacia kuhusu makinikia
Mayai ya kienyeji au ya kisasa?? na aya mayai nichemshe au nikaange??
 
kunywa bia kwakua itakuongezes furaha na kukufanya usahau stress zako kwa muda huo.......mbona mi sinywi maziwa na maisha yanaenda kama kawa..... acha uoga karibu kwenye bia uchangie pato la taifa onyesha uzalendo kwa nchi yako
Elewa uzi unavyosema au usha;ewa kwani nilikwambia nina stress
 
Asante sana iyo juice naipenda sana ya parachihi nasgukulu ndugu yangu....mimi ni mwanamke
 
hivi un tatizo gani wewe/ kila kitu kinakushinda isijetokea hata kufanya tendo la ndoa kwako ni shida... angalia usijekua robot......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anasema ukweli wake jmn msilazimishe buana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…