Machuchu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2017
- 1,260
- 965
Za leo.
Husika na kichwa cha habari kama hapo kinavyosema,
Mimi nina zaidi ya miaka mingi Sinywi maziwa ni kinywaji ambacho nimejitahidi kukinywa ila nimeshindwa kabisaaaaa.....nikinywa natapika sana, nikajaribu njia ya kuywa nimefumba macho pia ikanishinda.
Imefika stage hata chombo kilichopikiwa maziwa au kikombe nikikitumia natapika sana, wengi wanasema maziwa ni mazuri kwa afya haswa kwa kuondoa sumu mwilini na kujenga afya
Je nikitu gani kinaweza nisaidia badala ya maziwa? Kazi zangu zina shauri niwe nakunywa maziwa baada ya kazi. Na wengi wanasema maziwa mazuri ni yale fresh na siyo ya unga, na hata ya unga nilijaribu yakanishinda.
Naombeni msaada msinidharau wala msinikebehi wala kunidhihaki.