Naombeni msaada: Nimeng'atwa na mjusi shingoni

The dumb Professor

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2023
Posts
852
Reaction score
1,978
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba.

Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor:Floshed:
 
kama tule tweupe kimbia tu hospital
GECKO! ... au, kwa kisukuma, SHIGONI!
1714657106495.png
wana sumu, japo sijui madhara kamili, wahi kwa wataalam!
 
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba.

Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor:Floshed:
hujafa bado
 
Back
Top Bottom