Naombeni msaada: Nimeng'atwa na mjusi shingoni

Wahi hospitali... Baadhi ya mijusi ina sumu kali sana...
Kumbuka.. Mamia ya watu wanakufa na sumu inayotoka na mijusi...
 
Mkuu umasikini mubaya sana tafuta ..ela sana ..adi mjusi anakubite??
 
Weeeeeh weeeeh ety kifaru
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
UKIMUONA HUYU MJUSI KAFIRI NYUMBANI KWAKO MUUWE NI KIUMBE HATARI SANA KWAKO NA PIA NI ADUWI KWAKO MKUBWA.


Your browser is not able to display this video.
 
Wakuu niliwahi hospital.....nmepona ila,,,,,,,,,,,,,,,,,kwa mbinde sana
Pole sana mkuu!

Vipi ilikuwaje?

Humu masikhara mengi unaweza kufa wakiwa wanakufanyia jokes! Hakuna tofauti na wale wanaowarekodi wenzao wakifa.
 
Soon unakuwa Mjusi man😁😁😁

Utaanza kukamata wadudu waharibifu wa Mali za Tanzania
 
Bora ungen'gatwa na mimi uwe Spiderman unabusu tu wanawake ukiwa kichwa chini miguu juu
 
Mjusi tu unafungulia uzi, watu wanapambana na Simba maporini na hawasemi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…