ABDUL FUNGA
New Member
- Sep 3, 2022
- 4
- 2
Unajua udereva hata wa bodabodaNaomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali.
Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?
😄😁Dogo hebu hiyo hela kanywe bia utoe wenge kwanza...maisha ndo haya haya
Mfano anajua udereva ulitaka kumshauri Nini huwenda hukasaidia wengineUnajua udereva hata wa bodaboda
Iyo ni hela nyingi sana na ni hela ndogo sana ebu tembea tembea mtaani huwezi kukosa idea usiweke hela yote anza na biashara ya mtaji wa laki ili upate uzoefu wa biashara.Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali.
Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?