Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Pole sana mkuuMungu atuapushe na hili janga la Aviator binafsi niko kwenye Vita hii bado natafuta namna ya kujinasua, mlima wa madeni na umasikini ndio vitu nilivyoambulia..

Dha wakamalizia akili zinafanana.Mtoa mada naelewa hali unayopitia...
Ukiwa hauna hela anaweza sema sichezi tena,ukizipsta unasema ngoja nipige kwa nidhamu kabisa.
Mwishowe unarudi kwenye mzunguko ule ule,unapoteza unalala usingizi mzito au wengine hupiga punyeto weeee na kuangalia pornography n.k
Nakuelewa sana mtoa mada,pole kwa tatizo
Pole Mkuu. Kwa ulipofikia unahitaji ushauri nasaha (counseling), peke yako hutoweza kuacha. Unatakiwa kuongozwa cha kufanya ili uache kamari na ni mchakato, sio kitu cha siku moja, ni kama ulevi wa pombe au madawa ya kulevya. Kitu kingine cha muhimu ni kuwa na "support syetem", iwe familia, ndugu au marafiki. Ili iwe rahisi kukabiliana na hili janga ni lazima uwe na watu wa karibu kukupa emotional support kwa sababu mchakato wa kuacha utakupa shida sana kisaikolojia, hasa siku za mwanzo. Unahitaji mtu wa kukushika mkono kwenye safari hiyo ngumu ili usipate tamaa ya kurudi huko. Mwisho nakupongeza kwa hatua muhimu sana ya mwanzo ambayo ni KUKUBALI KWAMBA UNA TATIZO. Nakutakia kila la heri kwenye safari yako ya kulikimbia janga hili baya.Wadau kila mtu ana siri za maisha yake. Mimi kifupi ni mtu mzima nina maisha nimeenda shule na nina njia zakujipatia kipato.
Kifupi nina rafiki yangu daktari alinionesha kwa simu hii kamari ya hili game - Aviator siku moja tukiwa tumepumzika mahali.
Kuanzia siku ile mwaka 2022 mpaka leo maisha yangu yamebadilika. Yaani ni mimi na aviator tu kila pesa nikipata naweka huko na ninaliwa yaani kuna kipindi kwa wiki naliwa si chini ya 3M...
Imagine, yaani najitahidi kuacha lakini siwezi ile uchungu wakupoteza napata kiu kila ninaposhika pesa a naongeza dau na mpaka moyo wangu umekuwa siku hizi kama hauna hisia tena, naweza eka leo 250K ikaliwa ndani ya dakika kumi, nabaki mtupu kuombaomba.
Imefika hatua nataka kuuza mpaka magari yangu ili nicheze Aviator, thanks kea girlfriend wangu anayenishaurigi nisiuze gari ingawa hajui mimi nacheza kamari, yaani hii siri natoa hapa kwenu sijawahi mwambia mtu yeyote.
Kuna saa nawaza nikate eneo a shamba langu niuze ili niweze kurudisha pesa niliyopigwa na mhindi kwenye Aviator maana kwa mwaka toka 2022 napoteza si chini ya milioni 25-35 kwa hesabu za juu juu nilizofanya.
Nawaza kama Aviator ningeijua kabla sijafanya chochote kwenye maisha leo nisingekuwa na kitu chochote, ila hatari iliyopo ni kuwa sasa yaani kwa siku naweza kupata laki tatu nne ila yote inaisha kwa Aviator,
Hakuna hela inakaa mkononi, mpaka inataka kuharibu mahusiano, girlfriend wangu anajua nina uwezo wa kuwa na hela ila kuna wakati anasema inakuwaje nashindwa kumhudumia pesa napeleka wapi ila kumwambia mimi ni teja wa kamari ya Aviator nashindwa naona aibu nazidi kujichimbia kaburi la umasikini mfarakaniko na self denial...
Naombeni maana imenibidi niandike hili baada ya uchungu nimeweka leo jumla ya 400K na mhindi kala yote yaani asubuhi nilikua na 400K mda huu sina hata mia na kuna saa nilipata mpaka 3.6M ila mhindi akairudisha yoooote.
Mazee nimechoka haya maisha naomba mtu aniambie jamani niachaje kamari hiii!? Sitaki haya maisha....
Kuna saa napata hasira balaa ataka mpaka kujidhuru naniuliza nina pepo gani!?
Naomba msaada wa hali na mawazo niweze kuachana na hii kamari ya mchezo wa Aviator.
Haoo nyetohaupigi ili ufurahi, bali unapiga nyeto ili kuondoa huzuni au kukabiliana na stress unazozipitia kwa wakati huo.Dha wakamalizia akili zinafanana.
mimi nikipigwa vipigo vizito nyeto lazima nipige ndio nilale.
this life sucks a lot
Pole sanaWadau kila mtu ana siri za maisha yake. Mimi kifupi ni mtu mzima nina maisha nimeenda shule na nina njia zakujipatia kipato.
Kifupi nina rafiki yangu daktari alinionesha kwa simu hii kamari ya hili game - Aviator siku moja tukiwa tumepumzika mahali.
Kuanzia siku ile mwaka 2022 mpaka leo maisha yangu yamebadilika. Yaani ni mimi na aviator tu kila pesa nikipata naweka huko na ninaliwa yaani kuna kipindi kwa wiki naliwa si chini ya 3M...
Imagine, yaani najitahidi kuacha lakini siwezi ile uchungu wakupoteza napata kiu kila ninaposhika pesa a naongeza dau na mpaka moyo wangu umekuwa siku hizi kama hauna hisia tena, naweza eka leo 250K ikaliwa ndani ya dakika kumi, nabaki mtupu kuombaomba.
Imefika hatua nataka kuuza mpaka magari yangu ili nicheze Aviator, thanks kea girlfriend wangu anayenishaurigi nisiuze gari ingawa hajui mimi nacheza kamari, yaani hii siri natoa hapa kwenu sijawahi mwambia mtu yeyote.
Kuna saa nawaza nikate eneo a shamba langu niuze ili niweze kurudisha pesa niliyopigwa na mhindi kwenye Aviator maana kwa mwaka toka 2022 napoteza si chini ya milioni 25-35 kwa hesabu za juu juu nilizofanya.
Nawaza kama Aviator ningeijua kabla sijafanya chochote kwenye maisha leo nisingekuwa na kitu chochote, ila hatari iliyopo ni kuwa sasa yaani kwa siku naweza kupata laki tatu nne ila yote inaisha kwa Aviator,
Hakuna hela inakaa mkononi, mpaka inataka kuharibu mahusiano, girlfriend wangu anajua nina uwezo wa kuwa na hela ila kuna wakati anasema inakuwaje nashindwa kumhudumia pesa napeleka wapi ila kumwambia mimi ni teja wa kamari ya Aviator nashindwa naona aibu nazidi kujichimbia kaburi la umasikini mfarakaniko na self denial...
Naombeni maana imenibidi niandike hili baada ya uchungu nimeweka leo jumla ya 400K na mhindi kala yote yaani asubuhi nilikua na 400K mda huu sina hata mia na kuna saa nilipata mpaka 3.6M ila mhindi akairudisha yoooote.
Mazee nimechoka haya maisha naomba mtu aniambie jamani niachaje kamari hiii!? Sitaki haya maisha....
Kuna saa napata hasira balaa ataka mpaka kujidhuru naniuliza nina pepo gani!?
Naomba msaada wa hali na mawazo niweze kuachana na hii kamari ya mchezo wa Aviator.
Mkuu jaribu tiba hii kwanza kabisa kinachokutesa ni pale unapokuwa tayari umeshaliwa unapata maumivu na uchungu wa kutaka kupambana mpaka urudishe hela yako iliyopotea na kwa bahati mbaya kadr unavyopambana ili urudishe ndivyo inavuzidi kupoteza na kuzidisha maumivuHujanielewa mimi nina njia nne za vipato kizuri sana kwa siku sikosi 100K - 300K tatizo Aviator niliingia kama burudani ...
Tatizo ninapopoteza yaani kuliwa napata uchungu nicheze tena kurudisha pesa yangu hapo ndo naliwa tena na tena na kufanya mlima wa uchungu wakurudisha pesa na ndivyo nilivyojikuta nimezama kwa urahibu huu
Pole sana Mkuu, mi mpaka sasa nimeacha chuo kwa sababu ya AVIATOR, ni mchezo wa kikatili na hauna huruma.Pole sana
Wewe umepitia majanga kama Mimi
Tu, nimepoteza ZAIDI ya Tsh 25M
Kwenye shida hii tupo wengi. Hata mimi ninatafuta namna ya kuachana na aviator ni miezi 6 sasa napambana ili niweze kuacha Aviator tu.Wadau kila mtu ana siri za maisha yake. Mimi kifupi ni mtu mzima nina maisha nimeenda shule na nina njia zakujipatia kipato.
Kifupi nina rafiki yangu daktari alinionesha kwa simu hii kamari ya hili game - Aviator siku moja tukiwa tumepumzika mahali.
Kuanzia siku ile mwaka 2022 mpaka leo maisha yangu yamebadilika. Yaani ni mimi na aviator tu kila pesa nikipata naweka huko na ninaliwa yaani kuna kipindi kwa wiki naliwa si chini ya 3M...
Imagine, yaani najitahidi kuacha lakini siwezi ile uchungu wakupoteza napata kiu kila ninaposhika pesa a naongeza dau na mpaka moyo wangu umekuwa siku hizi kama hauna hisia tena, naweza eka leo 250K ikaliwa ndani ya dakika kumi, nabaki mtupu kuombaomba.
Imefika hatua nataka kuuza mpaka magari yangu ili nicheze Aviator, thanks kea girlfriend wangu anayenishaurigi nisiuze gari ingawa hajui mimi nacheza kamari, yaani hii siri natoa hapa kwenu sijawahi mwambia mtu yeyote.
Kuna saa nawaza nikate eneo a shamba langu niuze ili niweze kurudisha pesa niliyopigwa na mhindi kwenye Aviator maana kwa mwaka toka 2022 napoteza si chini ya milioni 25-35 kwa hesabu za juu juu nilizofanya.
Nawaza kama Aviator ningeijua kabla sijafanya chochote kwenye maisha leo nisingekuwa na kitu chochote, ila hatari iliyopo ni kuwa sasa yaani kwa siku naweza kupata laki tatu nne ila yote inaisha kwa Aviator,
Hakuna hela inakaa mkononi, mpaka inataka kuharibu mahusiano, girlfriend wangu anajua nina uwezo wa kuwa na hela ila kuna wakati anasema inakuwaje nashindwa kumhudumia pesa napeleka wapi ila kumwambia mimi ni teja wa kamari ya Aviator nashindwa naona aibu nazidi kujichimbia kaburi la umasikini mfarakaniko na self denial...
Naombeni maana imenibidi niandike hili baada ya uchungu nimeweka leo jumla ya 400K na mhindi kala yote yaani asubuhi nilikua na 400K mda huu sina hata mia na kuna saa nilipata mpaka 3.6M ila mhindi akairudisha yoooote.
Mazee nimechoka haya maisha naomba mtu aniambie jamani niachaje kamari hiii!? Sitaki haya maisha....
Kuna saa napata hasira balaa ataka mpaka kujidhuru naniuliza nina pepo gani!?
Naomba msaada wa hali na mawazo niweze kuachana na hii kamari ya mchezo wa Aviator.
Wewe umesha wahi kucheza aviator hata mara moja?Onyesha huo mkeka wa leo wa 400k nikupe mbinu mbadala za kuacha kamari
Hiyo ni kweli kabisa Hata kama ukipata pesa yoyote kwenye aviator leo, siku yoyote utairudisha mpaka na kuwapa faida wao.Kama sijakosea wewe ni mtu ambae shuleni ulikua na akili, ulifaulu vizuri masomo yako hasa hesabu na masomo ya sayansi. Pia uko vizuri kwenye mambo ya biashara.
Watu kama nyie kinachowasumbuaga ni kudhani kwamba hakuna kitu kinachoweza kukushinda! Sasa mkikutana na changamoto suluhisho lenu hua ni kutaka kupambana mpaka wewe ndio ushinde (kama ambavyo ulikua unapambana na swali darasani mpaka uli solve)
Sasa tambua AI ni system imetengenezwa kuhakikisha kwamba inaingiza hela kuliko inavyopoteza. Ukishindana nayo utaishia kuwa masikini. Kubali kwamba hapa duniani kuna vitu huviwezi, na achana navyo.
Unaongea kitu usichokijuaUnajiendekeza