Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu Pole sana kwa kupata maradhi ya Upungufu wa Kinga mwilini yaani UKIMWI. Ukiweza nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako. Mimi nitakusaidai hivyo vidonda vyako vya tumbo. (STOMACH ULCERS) Kwa ushauri wangu huu nenda hospitali asubuhi kapime Mkojo wako je upo msafi ? Hauna maradhi yoyote yale? Ukisha kupima Mkojo wako Daktari amekwambia hauna Maradhi yoyote yale. Siku ya pili yake kesho asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu asubuhi Kojoa Mkojo wako na ukinge mkojo wako kikombe 1 kisha kunywa . Baada ya kwisha kunywa kaa kwa muda wa saa moja pasipo na kula kitu tumboni. Baada ya saa 1 kupita waweza kula chakula chochote kile. Fanya utaratibu huo kwa muda wa siku 11 au siku 15. kisha nenda Hospitali kapime vidonda vyako vya tumbo utakuta hauna tena hayo maradhi. Tumia hiyo njia kisha uje ulete hapa Mrejesho wako. Ushauri wangu Kuhusu ukimwi fanya hivi Jitahidi kunywa maji mengi ya uvuguvugu kwa siku kunywa maji lita 4 kunywa maji glasi 2 kila baada ya Masaa3 , kula matunda kwa wingi kula mboga za majani achana na kula vyakula vyenye sukari acha kunywa pombe acha kunywa Soda ya aina yoyote ile, punguza stress, lala kwa usiku masaa 8 na kula vyakula visivyokobolewa utakuwa na afya nzuri ninakıutakia kila la kheri si mwingine bali ni Mimi Herbalist Dr.MziziMkavu.Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri.
Nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa juzi si nikashikwa na vidonda vya tumbo ndio nimeumwa kwa muda, sasa ndio hali ikawa sio hali.
Mwili umekonda kwa sasa naonekana kabisaa, sasa nawaleteeni nyinyi waungwana maana jana asubuhi naangalia vidole vya mikono vimekua vidogo, nisaidieni kama kuna mwenye kujua haya madawa ya asili, au za ksuni au kwa chochote, ahsanteni.