Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Post za December zimeanza! Huwa mnalipwa au ni vitu vya kweli, why December sana kuelekea siku ya ukimwi?Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri.
Nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa juzi si nikashikwa na vidonda vya tumbo ndio nimeumwa kwa muda, sasa ndio hali ikawa sio hali.
Mwili umekonda kwa sasa naonekana kabisaa, sasa nawaleteeni nyinyi waungwana maana jana asubuhi naangalia vidole vya mikono vimekua vidogo, nisaidieni kama kuna mwenye kujua haya madawa ya asili, au za ksuni au kwa chochote, ahsanteni.
Leta hoja yako yenye ukweli basi.Uongo mtupu
Acha utapeli,una huduma gani ya kupambana na HIV? Mtu kaja kuomba ushauri wewe umeona fursa tayari😏.Nitafute kwa wakati wako nikuelekeze nini Cha kufanya.
NB. Huduma hiyo ni buree.
Urongo. Unampoteza mwenzako.Yaani wataalamu wa Afya walipokwambia wewe una HIV uliwaelewa na kuwaamini kwa 100%. Walipokwambia njia bora na mahususi ya kupambana na hiyo hali ni kumeza ARVs, hukutaka kuwaamini ukaja mitaani kuokoteza ushauri wa wajinga. Sasa unavuna mambo!
Kunywa dawa ya mzungu uendelee kuishi ndugu. Huu ugonjwa ni wa mzungu huwezi utibu kwa dawa za kimasaiNisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri.
Nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa juzi si nikashikwa na vidonda vya tumbo ndio nimeumwa kwa muda, sasa ndio hali ikawa sio hali.
Mwili umekonda kwa sasa naonekana kabisaa, sasa nawaleteeni nyinyi waungwana maana jana asubuhi naangalia vidole vya mikono vimekua vidogo, nisaidieni kama kuna mwenye kujua haya madawa ya asili, au za ksuni au kwa chochote, ahsanteni.
Hizi topic zimeshakuja humu tukamaliza Kila kituMkuu sasa hapa ndipo shida ilipo. Unasema ni story za kutengeneza wakati nimeshuhudia hiki kitu hasa mwanzoni mwa miaka ya 90 mkuu. Sio kwamba ni story nimeadithiwa na mtu lakini ni kitu ambacho nimeshuhudia familia inapukutika nyumba zinafungwa na hapo taarifa juu ya hiv na arv hazikuwepo.
Na nimekwambia nina ndugu yangu kabisa yeye alikuwa kagoma kutumia ARV na sisi hatukujua kama ana HIV. Kuna muda aliumwa sana ndipo tukajua na alipoanzishiwa dozi hali yake ikaanza kuwa sawa na leo ni zaidi ya miaka 17 jamaa anadunda tu.
Sasa hapa ndipo nakuuliza, ni kitu gani kilifanya zile familia zife wakati hata hiyo ARV haikuwepo na ni kitu gani kilimfanya bro wangu aumwe kabla ya kuanza kutumua ARV na apate ahueni baada ya kutumia ARV?
Nyie ni wajinga sanaSasa wewe ndiye una assume mambo. Na nimesoma majibu yako hakuna sehemu hata moja umejibu kitaalam. Yani unasema ARV ni sumu na inaua ila yani huna maelezo ya kitaalam ya kuonyesha ni nini konatokea mpaka mtu anaambiwa ana HIV kwanini asitumie ARV.
I am sure wewe ni kato ya watu ambao mmetazama sana videos za Youtube na kusoma documents nyingi za wanaoamini HIV ni mradi, ila sema hata uliyoyasoma hujaelewa ndio maana hata kuyaeleza huwezi umeishia kutumia tu neno propaganda, progapanda sijui mradi wa kuuza ARV.
Ndio maana hata swali nililokuuliza huna jibu la kueleweka.
Unakuwa kama Steve Jobs, steve jobs alibiwa ana cancer afanyiwe operation mapema akawa mbishi kisa alikuwa naye kasoma kuwa akila sijui vyakula gani atapóna. Akafuata hizo diet zake maana mind you he was rich na alikuwa anadhani ni mwerevu kuliko watu wote. Kuja kugundua cancer imesambaa na hizo diet hazimsaidii. Anataka kufanya operation tayari cancer imesambaa na hakuna linaloweza kumsaidia, akafa mapema tu.
Inawezekana una hoja, una point lakini au hujui kutetea hoja yako maana hakuna point yoyote yenye maelezo ya kitaalam uliyotoa, au una general knowledge ya vitu ambavyo umesoma.mtandaoni huwezi hata vitetea.
Hivyo kama una kitu unafahamu weka wazi eleza kitaalam kwa kunijibu kitaalam kuliko kusema sijui mjomba wangua sijui alikuwa na TB sijui gono... Tb na gonorea tayari zilikuwa zinafahamika na dawa zilikuwepo....
unajua wenye ngoma wengi nimonia ndiyo inawaondoa ? rejea MezB, YP, Amina Chifupa, MpakaNjia, Roy BukukuMagonjwa ya mfumo wa upumuaji
So maana yake ARV ni sumu lakini madawa mengine ya nimonia sio sumu?unajua wenye ngoma wengi nimonia ndiyo inawaondoa ? rejea MezB, YP, Amina Chifupa, MpakaNjia, Roy Bukuku
Hakuna mtu anakufa kwa bahati mbaya ukioma mtu kafa basi ni muda wake umefikaTumia ARV's wewe. Acha masihara. Utaondoka kabla ya wakati. (Kama ni kweli lakini....!!)
mkuu, em mtagi BICHWA KOMWE - hapo, siyo mie 😀So maana yake ARV ni sumu lakini madawa mengine ya nimonia sio sumu?
Atumie njia gani sasa.??Asinywe kabisa huo uchafu wa ARV.
Ukienda hospitali kwa wagonjwa mahututi wa UKIMWI, asilimia 99 wako ON DOSE.
Yale MASUMU YA ARV yanavunja vunja mwili mpaka unakuwa MAJIVU.
Asinywe huo uchafu na HATAKUFA. Huo ndio ukweli, na asiponielewa hapa atanielewa akiwa MUHIMBILI.
Akiacha ARV atumie nn..?Wewe bado katoto kadogo. Hujui kitu zaidi ya maziwa na kashata.
Zile NOTES ZAKO UCHWARA ulizokariri kwenye SHULE YA KATA haziwezi kukusaidia kwenye hili. Utakuwa kama kasuku anayejamba jamba tu huku akiangamia kwenye kina kirefu.
Kama una UKIMWI nakushauri uachane na huo uchafu wa ARV.
Najua utanikasirikia na kunifokea kwa sababu umekata tamaa, lakini hili neno ninalolisema ni UHAI.
Niko makini kupambana na makasuku na madalali ya ARV. Nakuangalia kwa macho saba.
Kwahiyo usifikiri unajibizana na makusuku wenzio. I am well informed na ninajiamini kweli kweli.
Kwahiyo unabishana na Taasisi ya serikali na WHO?unajua wenye ngoma wengi nimonia ndiyo inawaondoa ? rejea MezB, YP, Amina Chifupa, MpakaNjia, Roy Bukuku
Nenda hospital pima kama una ugonjwa wowote ndani ya mwili unaokusumbua pambana uutibu kwanza. Pia kula milo hakuleti afya njema ila kufanya mifungo ya kiafya ni tiba bora hivyo nijunze kuhusu kufunga kiafyaNisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri.
Nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa juzi si nikashikwa na vidonda vya tumbo ndio nimeumwa kwa muda, sasa ndio hali ikawa sio hali.
Mwili umekonda kwa sasa naonekana kabisaa, sasa nawaleteeni nyinyi waungwana maana jana asubuhi naangalia vidole vya mikono vimekua vidogo, nisaidieni kama kuna mwenye kujua haya madawa ya asili, au za ksuni au kwa chochote, ahsanteni.