Naombeni msaada wa kiafya kuhusu afya yangu

Naombeni msaada wa kiafya kuhusu afya yangu

Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri.

Nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa juzi si nikashikwa na vidonda vya tumbo ndio nimeumwa kwa muda, sasa ndio hali ikawa sio hali.

Mwili umekonda kwa sasa naonekana kabisaa, sasa nawaleteeni nyinyi waungwana maana jana asubuhi naangalia vidole vya mikono vimekua vidogo, nisaidieni kama kuna mwenye kujua haya madawa ya asili, au za ksuni au kwa chochote, ahsanteni.
Post za December zimeanza! Huwa mnalipwa au ni vitu vya kweli, why December sana kuelekea siku ya ukimwi?
 
Yaani wataalamu wa Afya walipokwambia wewe una HIV uliwaelewa na kuwaamini kwa 100%. Walipokwambia njia bora na mahususi ya kupambana na hiyo hali ni kumeza ARVs, hukutaka kuwaamini ukaja mitaani kuokoteza ushauri wa wajinga. Sasa unavuna mambo!
Urongo. Unampoteza mwenzako.

Wataalamu wa afya ndio hawa wanaosoma TWISHENI YA BAYOLOJI mchikichini! Hawana ELIMU THABITI.

Nimemshauri hapo aachane na huo UCHAFU WA ARV. HATAKUFA.

Hii ni ELIMU YA JUU ambayo haipo kwenye zile NOTES ZAKO UCHWARA ZA SHULE YA KATA.

Najua umehamaki huku ukitamani kunivaa. Nitakunyuka JUU NA CHINI.

Fuata maelekezo hayo, acha ukasuku. ARV NI SUMU.
 
Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri.

Nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa juzi si nikashikwa na vidonda vya tumbo ndio nimeumwa kwa muda, sasa ndio hali ikawa sio hali.

Mwili umekonda kwa sasa naonekana kabisaa, sasa nawaleteeni nyinyi waungwana maana jana asubuhi naangalia vidole vya mikono vimekua vidogo, nisaidieni kama kuna mwenye kujua haya madawa ya asili, au za ksuni au kwa chochote, ahsanteni.
Kunywa dawa ya mzungu uendelee kuishi ndugu. Huu ugonjwa ni wa mzungu huwezi utibu kwa dawa za kimasai
 
Mkuu sasa hapa ndipo shida ilipo. Unasema ni story za kutengeneza wakati nimeshuhudia hiki kitu hasa mwanzoni mwa miaka ya 90 mkuu. Sio kwamba ni story nimeadithiwa na mtu lakini ni kitu ambacho nimeshuhudia familia inapukutika nyumba zinafungwa na hapo taarifa juu ya hiv na arv hazikuwepo.
Na nimekwambia nina ndugu yangu kabisa yeye alikuwa kagoma kutumia ARV na sisi hatukujua kama ana HIV. Kuna muda aliumwa sana ndipo tukajua na alipoanzishiwa dozi hali yake ikaanza kuwa sawa na leo ni zaidi ya miaka 17 jamaa anadunda tu.
Sasa hapa ndipo nakuuliza, ni kitu gani kilifanya zile familia zife wakati hata hiyo ARV haikuwepo na ni kitu gani kilimfanya bro wangu aumwe kabla ya kuanza kutumua ARV na apate ahueni baada ya kutumia ARV?
Hizi topic zimeshakuja humu tukamaliza Kila kitu
 
Mleta mada, kumbuka mashetani nao hujichanganya na binadamu hata kwenye forums zao ili kuwapoteza. Fuata ushauri wa madaktari, usifuate ushauri wa laymen wajuaji.
 
Sasa wewe ndiye una assume mambo. Na nimesoma majibu yako hakuna sehemu hata moja umejibu kitaalam. Yani unasema ARV ni sumu na inaua ila yani huna maelezo ya kitaalam ya kuonyesha ni nini konatokea mpaka mtu anaambiwa ana HIV kwanini asitumie ARV.
I am sure wewe ni kato ya watu ambao mmetazama sana videos za Youtube na kusoma documents nyingi za wanaoamini HIV ni mradi, ila sema hata uliyoyasoma hujaelewa ndio maana hata kuyaeleza huwezi umeishia kutumia tu neno propaganda, progapanda sijui mradi wa kuuza ARV.
Ndio maana hata swali nililokuuliza huna jibu la kueleweka.
Unakuwa kama Steve Jobs, steve jobs alibiwa ana cancer afanyiwe operation mapema akawa mbishi kisa alikuwa naye kasoma kuwa akila sijui vyakula gani atapóna. Akafuata hizo diet zake maana mind you he was rich na alikuwa anadhani ni mwerevu kuliko watu wote. Kuja kugundua cancer imesambaa na hizo diet hazimsaidii. Anataka kufanya operation tayari cancer imesambaa na hakuna linaloweza kumsaidia, akafa mapema tu.
Inawezekana una hoja, una point lakini au hujui kutetea hoja yako maana hakuna point yoyote yenye maelezo ya kitaalam uliyotoa, au una general knowledge ya vitu ambavyo umesoma.mtandaoni huwezi hata vitetea.
Hivyo kama una kitu unafahamu weka wazi eleza kitaalam kwa kunijibu kitaalam kuliko kusema sijui mjomba wangua sijui alikuwa na TB sijui gono... Tb na gonorea tayari zilikuwa zinafahamika na dawa zilikuwepo....
Nyie ni wajinga sana

Hizi takwimu za Nimri

Magonjwa ya mfumo wa upumuaji yanaua watanzania zaidi ya huo ukimwi halafu mnakuja hapa kujamba Jamba na Ukimwi!

Malaria Kwa hizi takwimu unaua zaidi ya huo ukimwi...

Hii mada imeshakuja humu tukamaliza labda uwe umejiunga majuzi humu
Screenshot_20231203-100250.jpg
 
Anza kutumia ARVs, usione haya!

Harafu ondokana na Hofu.
Kinachomaliza Waathirika wa HIV wanapokuwa wamepima na kugundulika wana tatizo hilo ni Hofu! Hofu ni mlango Mkubwa wa adui kummaliza mtu!
Kupima leo na kugundulika una HIV siyo kufa leo au Kutokutwa na HIV siyo kinga ya kutokufa leo.
Kila mtu ameandikiwa tarehe na saa yake ya kufa!
Ukifuata maelekezo ya kunywa hizo dawa ARVs na kujilinda utarudi katika hali yako.

MWISHO! Uwe karibu na Mungu kuliko wakati wo wote! Kwa mimi Mkristo, mpokee Yesu Kristo Mwambie Mungu akusamehe dhambi zako, Yeye ni Mwenye rehema atakusaidia.
Utapata Faraja na Ujasiri wa kuhesabu tatizo hilo kama si kitu.
Wapo wengi wanaishi na tatizo hilo huwezi kuamini ukiwaona.

Fahamu vile vile sisi wanadamu ni Wapitaji na Wasafiri, kuna maisha mengine mazuri ya raha ambayo tutaenda kuishi baada ya kuumaliza mwendo hapa duniani.
🙏🙏🙏
 
Asinywe kabisa huo uchafu wa ARV.

Ukienda hospitali kwa wagonjwa mahututi wa UKIMWI, asilimia 99 wako ON DOSE.

Yale MASUMU YA ARV yanavunja vunja mwili mpaka unakuwa MAJIVU.

Asinywe huo uchafu na HATAKUFA. Huo ndio ukweli, na asiponielewa hapa atanielewa akiwa MUHIMBILI.
Atumie njia gani sasa.??
 
Wewe bado katoto kadogo. Hujui kitu zaidi ya maziwa na kashata.

Zile NOTES ZAKO UCHWARA ulizokariri kwenye SHULE YA KATA haziwezi kukusaidia kwenye hili. Utakuwa kama kasuku anayejamba jamba tu huku akiangamia kwenye kina kirefu.

Kama una UKIMWI nakushauri uachane na huo uchafu wa ARV.

Najua utanikasirikia na kunifokea kwa sababu umekata tamaa, lakini hili neno ninalolisema ni UHAI.

Niko makini kupambana na makasuku na madalali ya ARV. Nakuangalia kwa macho saba.

Kwahiyo usifikiri unajibizana na makusuku wenzio. I am well informed na ninajiamini kweli kweli.
Akiacha ARV atumie nn..?
 
Kilichokufanya uugue kwa mda mfup na kukonda kwa haraka ni CD4 zlkua zmeshuka sana ukawa unajipa moyo kwa muonekano wa mwil kua unaafya lakin kinga za mwil zkawa zinaliwa, ARV inasaidia kuvifubaza vizur na kuvizuia kuzaliana mwilin sio kuvimaliza na inalinda CD4 zako sasa apo ukienda clink kuanza dawa utakua kwenye hatar kubwa ya kukaa kitandan kwa muda mana dawa utakazo pewa ztakua strong kulko kinga zako za mwil il uweze kua stable..Ushaur wangu wahi CTC kesho asubh uanze counselling na kupewa ma Unga ya Vitamn yatakayo kupa nafuu kwa haraka tofaut na vyakula ulivyozoea kula
 
Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri.

Nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa juzi si nikashikwa na vidonda vya tumbo ndio nimeumwa kwa muda, sasa ndio hali ikawa sio hali.

Mwili umekonda kwa sasa naonekana kabisaa, sasa nawaleteeni nyinyi waungwana maana jana asubuhi naangalia vidole vya mikono vimekua vidogo, nisaidieni kama kuna mwenye kujua haya madawa ya asili, au za ksuni au kwa chochote, ahsanteni.
Nenda hospital pima kama una ugonjwa wowote ndani ya mwili unaokusumbua pambana uutibu kwanza. Pia kula milo hakuleti afya njema ila kufanya mifungo ya kiafya ni tiba bora hivyo nijunze kuhusu kufunga kiafya
 
Back
Top Bottom