Naombeni msaada wa kimawazo marafiki

Naombeni msaada wa kimawazo marafiki

munir salim

Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
14
Reaction score
1
Nimemaliza kidato cha nne 2012 na kupata alama D katika masomo saba ambayo ni history, geograph, kiswahili, civics, commerce, bookkeeping, biology.

Nni chuo kipi naweza pata nafasi kozi ipi itafaa na yenye manufaa na soko kwa sasa
 
kabla hatujakwambia usome nini, twambie kwanza ww unapenda kusoma kitu gani?
 
Ningependa kusomea fulcute za afya,kilimo

km unapenda kusomea kilimo kwa pass mark zako hizo za form four nenda chuo chochote cha kilimo ukaanze na ngazi ya cheti, kuna chuo cha kilimo naliendele mtwara wapo vzr tu pia kuna chuo cha kilimo tumbi tabora au nenda chuo chochote cha kilimo watakupa maelezo mazuri zaidi.

Km ni afya bado unafit cha msingi tembelea chochote cha uuguzi ukaulize taratibu zao mimi ninauhakika kwa ngazi ya cheti watakuchukua na utakuja kusoma hadi shahada km kweli unania.
 
Nina nia wakubwa ndio maana nimeuliza ila ahsanten kwa ushauri wacha nifanyie kazi
 
Nimemaliza kidato cha nne 2012 na kupata alama D katika masomo saba ambayo ni history, geograph, kiswahili, civics, commerce, bookkeeping, biology.

Nni chuo kipi naweza pata nafasi kozi ipi itafaa na yenye manufaa na soko kwa sasa

VETA Na Kozi UDEREVA.............Kila La Kheri.
 
ungesema upo wap ingependeza pia maana hata mbeya vyuo vya kilimo na afya vpo. nina maana kwamba unaweza kuanza kuhangaika kutafuta chuo mikoa mingne kumbe mkoa ulipo vipo ila hujui kuwa vipo, sema upo wap wadau tukusaidie
 
Nimemaliza kidato cha nne 2012 na kupata alama D katika masomo saba ambayo ni history, geograph, kiswahili, civics, commerce, bookkeeping, biology.

Nni chuo kipi naweza pata nafasi kozi ipi itafaa na yenye manufaa na soko kwa sasa

Kwaninii hukusoma chem na biology ndugu yanguu wewe haukuwa naniaa nakoziizoo alafuu bado brn umepatahivyoo daa hivii unajuaa dogo kwamba skuizii kunacompetition kubwasanaa au ulijuii hiloo sasa minachokushaurii tafuta health attendant course usome alafuu uendee nursing badaee ujiendeleze makilimo hayoo enhee nawasiwasi nayosanaa afya inauhakika sana maana wewe hata chemistry hunadaa cert ya nursing huwezii pataa labda kwa vyuo vya uchochoronii alafuu usipoajiriwaa badaee ujekulaumu wizara nenda kasome health attendant courses sjuii vyuo vyakee hatakimojaa sema uvitafute vipoo nia na juhudi zinatakiwaa alafuu utajiendeleza badaee maana kozi yenyewe mwaka mmoja na wanahitajika sanasana hayotuuuu
 
Back
Top Bottom