baba na baba
Member
- May 31, 2024
- 27
- 33
Sawa mkuu AsanteRudi ukawaulize ama wasiliana nao ili ujie hatma ya madai yako.
Kama itaahindikana nenda ukawafungulie mediation CMA, kisha udai na fidia usumbufu, gharama za kuendesha kesi na kadhalika
Pole kwa changamoto iliyokukuta,sheria za kazi zinahitaji mtu pale anaposimamishwa au kuachishwa kazi kulipwa stahiki zake zote siku hiyohiyo,na inaposhindikana kwa malipo kufanyika kwa siku husika ina maana hiyo Termination haiwezi kuwa kamilifu na sahihi,vinginevyo kuwe na sababu za msingi zinazozuia malipo husika kufanyika katika siku hiyo ya kuachishwa kazi.Nilifukuzwa kazi nikapewa barua ya kufukuzwa na
Nafikiri ulichopewa ni Notice for Termination of Employment Contract/taarifa ya kuachishwa au kusitishwa kwa mkataba wa ajira,pia kama itakuwa vyema kwako unaweza kutuma au kuelezea content ya barua husika,au kutafuta mwanasheria atakayeweza kukupa msaada zaidi juu ya hilo.inaelekeza nitapewa madai yangu yote ndani ya siku kumi na nne (14)za kazi, ila Leo ni siku ya 16 sijalipwa chochote je naweza kuwashtaki waajili wangu.
inasomeka katika mkataba au katika barua ya kuachishwa kazi au katika barua ya taarifa ya kuachishwa kazi?Ndio unaelekezwa ndani ya siku 14 za kazi ntakupwa pesa zangu nazo dai ila sijalipwa
Mkataba unaelekeza hivo. Na pia barua inaelekeza hivo ila malipo nimelipwa kidogo tofauti na ninavyo daiinasomeka katika mkataba au katika barua ya kuachishwa kazi au katika barua ya taarifa ya kuachishwa kazi?
Na pesa imeingia sasa hivi baada ya kwenda ofisini kulalamika Leo ila haijatimia badoMkataba unaelekeza hivo. Na pia barua inaelekeza hivo ila malipo nimelipwa kidogo tofauti na ninavyo dai
mhh pole sana,nafikiri kuna kitu hakiko sawa mahali,jitahdi utafute mawanasheria akusaidie maana hakuna sehemu yeyote ambapo utaachiwa kazi na kisha kulipwa baada ya 14 za kuachishwa kaziMkataba unaelekeza hivo. Na pia barua inaelekeza hivo ila malipo nimelipwa kidogo tofauti na ninavyo dai