implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Hii ni tiba ya kiasili kabisa,issue hawa walezi wa instagram na facebook sijui kama wanaelewa! Uzungu mwingi!Jaribu tiba ya mgagani
Sasa mkuu ni wapi naweza wapata hao wazee?,Pole Sana
Changamoto Niliona Sehemu Moja Mtoto Akitiwa Kama Mdau Aliyosema Kuna Majani Yanapikichwa Anadondoshewa Baada Ya Hapo Hutasikia Tena Shida Hiyo
WWapoWazee Mtoto Kama Huyo Akiguswa Korodani Wanajua Huenda Akiwa Mkubwa Atasumbuliwa Na Henia Anapewa Dawa Akiwa Mdogo Tatizo Linakwisha
Wewe Upo Mkoa Gani ?Sasa mkuu ni wapi naweza wapata hao wazee?,
Kwa kiasi fulani nimekata tamaa kwenda hospitali nyingine, maana nimeona hospitali unawaambia dalili na ugonjwa.Kwanini usiende hospitali nyingine mkuu?
Au huko ulipo hospitali ni moja tu!
Habarini wanajukwaa hili,
Kama mada inavyojieleza ni kwamba mwanangu wa kiume umri mwaka 1 na nusu kwa mwezi sasa anasumbuliwa na mgolo kutoka nje, kila anapojisaidia haja kubwa.
Nilimpeleka hospitali lakini nilimshangaa Daktari anaonekana kutotambua ugonjwa huu.
Baada yakumwelezea,bpia mtoto anasumbuliwa na mafua na kikohozi, hakunipa dawa ya bawasiri (ndo maana nimeona uenda haujui ugonjwa huu).
Alinandikia tu syrup za kikohozi na mafua,bnakushauri nimpe maji mengi yakunywabpamoja na juisi na vyakula laini laini baasi.
Naomba mwenye kujua anisaidie hili tatizo.
Asanteni.
Nitampataje mkuu na niko huku kanda ya ziwa?Kama ni Bawaziri kuna mtaalamu yupo sehemu inaitwa Msanga Zalala ( Rural Kisarawe) anatibu Bawaziri za aina zote na mtu anapona kabisa
MwanzaWewe Upo Mkoa Gani ?
MWANZAMwanza
Naomba namba zake mkuuMWANZA
Sawa Huyo Yupo Korogwe