Evarm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 1,994
- 1,540
Mkuu
Mume wangu alikuwa nao huo ugonjwa alikuwa anasaga majani ya mgagani kwa blenda anakunywa ya kuwa mabichi naengine anaweka huko chini.
Pia mpe matunda kwa wingi na vyakula vya nyuzinyuzi, achana na sembe tumia Dona
Maji ya kunywa kwa wingi
Mkuu tumia huo mgagani ni dawa nzuri sana kwa hili tatizo.Kwa kiasi fulani nimekata tamaa kwenda hospitali nyingine, maana nimeona hospitali unawaambia dalili na ugonjwa.
Lakini wao hawana dawa hasa ya kutibu wanakwambia tu mpe maji mengi chakula laini, matunda, mara mtoto asikae sana sehemu moja (wakati mtoto mara nyingi hawezi kaa sehemu moja kiiivyo!!,nijuavyo si watu wazima ndo ukaa sehemu moja kwa mda mrefu, labda tokana na kazi tufanyazo).
Nionavyo mkuu huu ugonjwa unatibiwa na dawa asili zaidi na mjibu wa maoni ya wengi, ngoja nijaribu uko zaidi, ahsanteni