Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,133 Reaction score 26,766 Sep 30, 2019 #21 monotheist said: Kuna vibanda kama vitano hapa hospital ya temeke karibu na lango kuu la kuingilia hospital yaani wateja hawakauki muda wote mtu nyomi iwe asubuhi, mchana au jioni Nafikiri tafuta maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu. Click to expand... Yap sure kabisa sehemu hasa mahospitali atapata Sana wateja
monotheist said: Kuna vibanda kama vitano hapa hospital ya temeke karibu na lango kuu la kuingilia hospital yaani wateja hawakauki muda wote mtu nyomi iwe asubuhi, mchana au jioni Nafikiri tafuta maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu. Click to expand... Yap sure kabisa sehemu hasa mahospitali atapata Sana wateja
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Sep 30, 2019 #22 Champagnee said: Kibaha itabid niwe na plan nzuri, shukran mkuu nitakuja fanya survey piaa Click to expand... Karibu sana ni mahali penye mzunguko wa watu kama Mia 5 daily
Champagnee said: Kibaha itabid niwe na plan nzuri, shukran mkuu nitakuja fanya survey piaa Click to expand... Karibu sana ni mahali penye mzunguko wa watu kama Mia 5 daily