Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Yap sure kabisa sehemu hasa mahospitali atapata Sana watejaKuna vibanda kama vitano hapa hospital ya temeke karibu na lango kuu la kuingilia hospital yaani wateja hawakauki muda wote mtu nyomi iwe asubuhi, mchana au jioni
Nafikiri tafuta maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu.