Naombeni msaada wa location nzuri kwa ajili ya biashara ya chips

Naombeni msaada wa location nzuri kwa ajili ya biashara ya chips

Kuna vibanda kama vitano hapa hospital ya temeke karibu na lango kuu la kuingilia hospital yaani wateja hawakauki muda wote mtu nyomi iwe asubuhi, mchana au jioni
Nafikiri tafuta maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu.
Yap sure kabisa sehemu hasa mahospitali atapata Sana wateja
 
Back
Top Bottom