Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Duuuh,msingi tu ndo parefu hivyo.Amna Amna andaaa Milioni 45 Kwa nyumba ya kisasa
Kama utajenga kozi 6, utahitaji uwe na tofali 400 kwa msingi pekee. Nimeassume chumba kina 3.45mx3.75m (11.5ftx12.5ft), sebule 3.6mx4m, choo 1m×1.8m. Ukihitaji makadirio yote kuanzia msingi mpaka finishing tuwasiliane +255(0)624068809Habari ya asubuhi wakuu?.
Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare
Naombeni na mainjinia mnipe ushauri wa ukubwa wa chumba interns of ft/m au idadi ya blocks
Ukuta wa kijani hapo kwenye choo itakuwa na tofali za nchi 6. Wataalamu Leteni maneno kama itafaa nyumba yote ukuta huo tu ndo uwe na tofali kubwa kiasi hiko
Msingi unatrgemewa kuwa wa tofali za nchi sita. Ni vizur pia nikapata kufaham bei ya tofali hizi mpaka kufika site.
Plan ya ujenzi ni ya miaka 6 lakin msingi utaanzwa mwaka huu.
Cc. Lamomy
Kalaga baho!
Huduma hiyo itarange kias gan mkuu naomba nikucheki tuone tunafanyaje. ShukraniKama utajenga kozi 6, utahitaji uwe na tofali 400 kwa msingi pekee. Nimeassume chumba kina 3.45mx3.75m (11.5ftx12.5ft), sebule 3.6mx4m, choo 1m×1.8m. Ukihitaji makadirio yote kuanzia msingi mpaka finishing tuwasiliane +255(0)624068809
Whahaha, hii ya chini tu hapa nanga inapaaShem jenga ghorofa nikija kukutembelea niangalie jirani zako kutokea juu 😜
Hapo andaa million 5 ya msingi kwa ramani hiyo
Umeangalia ramani yake au umetamka tu 45m? Chumba na sebule iwe 45m?Amna Amna andaaa Milioni 45 Kwa nyumba ya kisasa
Kutoka msingi hadi kuhamia 15ml. Finishing ya kisasa 25mlHabari ya asubuhi wakuu?.
Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare
Naombeni na mainjinia mnipe ushauri wa ukubwa wa chumba interns of ft/m au idadi ya blocks
Ukuta wa kijani hapo kwenye choo itakuwa na tofali za nchi 6. Wataalamu Leteni maneno kama itafaa nyumba yote ukuta huo tu ndo uwe na tofali kubwa kiasi hiko
Msingi unatrgemewa kuwa wa tofali za nchi sita. Ni vizur pia nikapata kufaham bei ya tofali hizi mpaka kufika site.
Plan ya ujenzi ni ya miaka 6 lakin msingi utaanzwa mwaka huu.
Cc. Lamomy
Kalaga baho!
Huyu hakuwa attention to details.Umeangalia ramani yake au umetamka tu 45m? Chumba na sebule iwe 45m?
2 m kwa hapa Sina Kwan zile nondo za bim zinatakiwa kuwaje. Kuna injinia hapo juu nimcheki Kuna kahela ka maji kaniambia nimpe atanitengenezea makadirioKwa msingi pekee haiwezi kufika 2m.
Vipi kwani Bei hio ni nyingi au kidogo??Umeangalia ramani yake au umetamka tu 45m? Chumba na sebule iwe 45m?
Kubwa sanaVipi kwani Bei hio ni nyingi au kidogo??
Kasema kama atataka ya kisasaUmeangalia ramani yake au umetamka tu 45m? Chumba na sebule iwe 45m?
YahLocation ndo inaamua bei ya materials na ndo itakupa gharama za makadirio.
Kwa sasa unatakiwa kujua unahitaji tofali ngapi, mchanga+cement kias gan etc
Familia za kimaskini tunahamia tu.. finishing tunaifanyia hapo hapo kwa kumeki buku bukuAndaa bajeti ya around 20M-25M mpaka finishing ukitaka iwe standard nimeASSUME ukubwa wa 8x4(32SQM) plot size