Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
Katika ujenzi udongo mweusi sio mzuri kwa sababu unasupport sana ukuaji wa mimea kutokana na uwepo wa virutubisho vya mimea (plant nutrients) kwa wingi. Baada ya kuchimba msingi, inatakiwa umwage mchanga mwingi sana kabla hujaanza kulaza tofali za msingiUdongo mweusi na yale mazingira yana mirija ya chemichemi ambayo inatokea kama kabonde kaliko chini kidogo hiv kila baad ya mita kama 1300 hiv. Ni sehem flan hiv nahis itakuwa na uwezo wa kutunza maji chini. Yani futi kama 10 chini unawez kuanza mfinyaji japo harujapokea Mrejesho kwa yoyote mana hakuna aliyeranza ujenz