DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Nje ya mada kidogo..Habari ya asubuhi wakuu?.
Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare
Naombeni na mainjinia mnipe ushauri wa ukubwa wa chumba interns of ft/m au idadi ya blocks
Ukuta wa kijani hapo kwenye choo itakuwa na tofali za nchi 6. Wataalamu Leteni maneno kama itafaa nyumba yote ukuta huo tu ndo uwe na tofali kubwa kiasi hiko
Msingi unatrgemewa kuwa wa tofali za nchi sita. Ni vizur pia nikapata kufaham bei ya tofali hizi mpaka kufika site.
Plan ya ujenzi ni ya miaka 6 lakin msingi utaanzwa mwaka huu.
Cc. Lamomy
Kalaga baho!
Hii ni Application?
VIpi inafanya kazi sawa na AutoCAD au ArchCAD..
kama ndyo au inakaribiana hebu nitajie jinale