Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
Katika ujenzi udongo mweusi sio mzuri kwa sababu unasupport sana ukuaji wa mimea kutokana na uwepo wa virutubisho vya mimea (plant nutrients) kwa wingi. Baada ya kuchimba msingi, inatakiwa umwage mchanga mwingi sana kabla hujaanza kulaza tofali za msingiUdongo mweusi na yale mazingira yana mirija ya chemichemi ambayo inatokea kama kabonde kaliko chini kidogo hiv kila baad ya mita kama 1300 hiv. Ni sehem flan hiv nahis itakuwa na uwezo wa kutunza maji chini. Yani futi kama 10 chini unawez kuanza mfinyaji japo harujapokea Mrejesho kwa yoyote mana hakuna aliyeranza ujenz
huo udongo mweusi, nao ni mchanga vile vile,Katika ujenzi udongo mweusi sio mzuri kwa sababu unasupport sana ukuaji wa mimea kutokana na uwepo wa virutubisho vya mimea (plant nutrients) kwa wingi. Baada ya kuchimba msingi, inatakiwa umwage mchanga mwingi sana kabla hujaanza kulaza tofali za msingi
Kwanza Kuondoa uwepo wa mzunguko wa Maji kwenye eneo lako, kwaUdongo mweusi na yale mazingira yana mirija ya chemichemi ambayo inatokea kama kabonde kaliko chini kidogo hiv kila baad ya mita kama 1300 hiv. Ni sehem flan hiv nahis itakuwa na uwezo wa kutunza maji chini. Yani futi kama 10 chini unawez kuanza mfinyaji japo harujapokea Mrejesho kwa yoyote mana hakuna aliyeranza ujenz
Kwa kawaida tofali za msingi zile zinazofukiwa zinatakiwa zisipungue ngapi? Bei ya tofali kule sijajua ila nitanunua za nchi 6 nimekadiria 1300 kwenye hesabu zangu. Na raman nilito nayo Kuna fundi kaniambia nirafte tofali 400 kwa ajili ya msingi . So nafanya tafit fupi mana nawez kununua eneo lingine mana kule maendeleo yanachelew sana.Kwanza Kuondoa uwepo wa mzunguko wa Maji kwenye eneo lako, kwa
1.Kumwaga kifusi cha mfinyazi cha kutosha na kushindiliwa (kama una hela)
2.Design mfumo mzuri wa kutoa maji ya mvua katika hilo eneo.
Na
3.Kuhakikisha hapo kwenye eneo ambalo utajenga linakuwa juu.hata kwa mita 0.5
Pili,Ujenzi
Hapo ni kuhakikisha unajenga kwa ubora siyo kubumba.
1.Tumia tofali ngumu za 1000 hadi 1200 za umeme.
2.Mchanga usiwe na Chumvi
3.Zege iliyo na uwiano mzuri wa simenti,kokoto na mchanga.
4.Zege iwekwe vidhibiti maji.
5.Uwepo wa D.P.m
Kimo cha hyo footing, hutegemea na 1.stability ya ardhi ya eneo husika.Kwa kawaida tofali za msingi zile zinazofukiwa zinatakiwa zisipungue ngapi? Bei ya tofali kule sijajua ila nitanunua za nchi 6 nimekadiria 1300 kwenye hesabu zangu. Na raman nilito nayo Kuna fundi kaniambia nirafte tofali 400 kwa ajili ya msingi . So nafanya tafit fupi mana nawez kununua eneo lingine mana kule maendeleo yanachelew sana.
Kwa masta Moja ambayo Ina porch niandae tofali ngap za msingi ndugu injinia
Anhaa mana niliplan kuweka Tano. Shukran mkuu.. na kwa kwKimo cha hyo footing, hutegemea na 1.stability ya ardhi ya eneo husika.
2.water table kama ipo karibu....
Kuna maeneo ni kozi 2,Kuna maeneo 3 na 4.
Kama eneo linafanya nyumba zititie, footing inatakiwa iwe pana zaidi.
Kama kwako hapo kozi 3 chini,kozi 3 juu.so msingi wako uwe na kozi sita...Mana huo udongo kuna maeneo Majengo huwa yanatitia.
Yani nikisema chumba kina mita 3 kwa mita 3. Je hii mita 3 ni sawa na tofali ngapAnhaa mana niliplan kuweka Tano. Shukran mkuu.. na kwa kw
Awaida mita Moja inakula tofali ngapi za block
unaongelea eneo la chumba au mzunguko wa chumba...?Yani nikisema chumba kina mita 3 kwa mita 3. Je hii mita 3 ni sawa na tofali ngap
Chumba kikiwa na mita 3 mzunguko. Je mita Moja huwa inakula tofali ngapiunaongelea eneo la chumba au mzunguko wa chumba...?
Poa ngoja nikucholee chap skeleton yakeNahitaji ramani ya 2 apartments under 1 roof
Kila apartment itakuwa na room 2 self + dinning+ living room+ kitchen+ a public toilet
: Roofing= Bati la kuficha
Jamani watu humu jf wanataja tuu mamillion ya pesa, wenzetu mnayachota wapi? Nyumba million 45 kha! Kinole hapo nina nyumba 6Amna Amna andaaa Milioni 45 Kwa nyumba ya kisasa
Gharama hizi ni za msingi pekee (unaoishia bim)π²π·ππΌπ±π° πΌπ°πππ΄π
ππππππ 230 = 230,000
ππππππ 6 = 90,000
π½ππππ 2 = 46,000
πΌππππππ 1 = 100,000
πΊπππππ 15 = 30,000
πΌπππ 12 = 24,000
πππππ 250,000
πΉππππ 800,000/=
π₯΄π