Naombeni msaada wa mawazo

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
5,727
Reaction score
6,615
Amemaliza form 4 na kapasi vizuri tu ana one, ni Ke. Anataka kwenda diploma kwenye kozi ya sekta ya afya. Anaomba ushauri wa kozi gani nzuri kati ya hizi
  • Ordinary Diploma in clinical medicine
  • Ordinary Diploma in Pharmaceutical sciences
  • Ordinary Diploma in medical laboratory sciences
  • Ordinary Diploma in nursing and midwifery
  • Ordinary Diploma in Diagnostic Radiography
Msaada wenu tafadhali wajuvi wa mambo
 
Akasome Diploma ya nursing and midwife.

Watu wanazaa kila siku hivyo uhitaji hauishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…