Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 270
- 450
Wakuu
Mimi ni mfanyakaz wa kampuni flan inajihusisha na maswala ya ujenzi
Malipo yake sio mazuri sana lkn si haba unapata hela ya kula yn ni malipo ambayo huwez pata hela ya kufanya jambo kubwa sana sana utalipa kodi na kula
Mwanzon mwa mwez wa nne nilipata dili ya mwezi mmoja tuu ambayo kiukwel malipo yake yalikua mazur nikaomba rikizo kazin ya mwez huo mmoja na nikaruhusiwa
Nimeenda kupiga dili lang mwez umeisha nimerejea kazin naambiwa niandike barua ya kuomba kurudi nikaandika hyo barua ikapelekwa kwa mkurugenz hakutoa majibu
Nikamfata kuongea nae akanambia nivumilie mpk mwsho wa mwez
nikarud home kusubir mwez uishe
Mwez umeisha sasa amekua ni wa kunipiga chenga kila nikienda anaingilia huku anatokea huku sasa nikamuomba kwamba wakat naendelea kusubir kama unavosema bc naomba barua niweze kufatilia malipo yang ya NSSF
Baada ya kumueleza hvo akanambia nisichukue barua ila nimvumilie tena kdg aangalie sehem ya kuniweka
Sasa ni miez miwili imepita kila nikienda ni tarehe tuu,hatak nichukue barua wala hatak niache kaz
Nilihisi labda hela haijapelekwa lkn nilienda kuomba statement NSSF nikaikuta pesa yote sasa nashindwa kuelewa wakuu siku zinaenda na muda unaenda na mbaya zaidi sio kwamba hana sehem za kuniweka zipo sehem nyingi mno lkn sielewi tatzo hasa ni nini
Nafikiria week ijayo ubaya ubwela niende tena anipe tuu barua yangu nikafatilie malipo yang nimechoka kusubir
Jee ni sahihi kwa mawazo yangu?,naombeni ushauri wenu wakuu