- Thread starter
- #21
May God give you according to your wish.just receive what you desire in Jesus name
nawashukuru wote kwa ushauri wenu,hata mliotoa kejeli pia,nashukuru,kwani dunia duara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
May God give you according to your wish.just receive what you desire in Jesus name
Pole tupo wengi sana ambao tumenyimwa mikopo ya elimu ya juu,,mim mwenyewe nimechaguliwa UDSM main campus,lakin mkopo sina,ila sitaacha chuo,naenda,kitivo cha elimu nimepangiwa.mwakajana nilipata chuo kitivo hichohicho cha elimu,na chuo hichohicho cha UDSM,lakini mkopo pia walininyima,sikwenda kabisa,mwaka huu,naenda.najua nitasafa,lakini acha nikafie chuo,
..........ndugu wana jamvi,mimi ni mojawapo ya watu waliokosa mikopo ya elimu ya juu.mwaka 2011,nilichaguliwa kujiunga chuo kikuu songea,shahada ya elimu.lakini niliacha masomo,baada ya kumaliza tu,semesta ya kwanza.hii ilitokana na kukosa mkopo.mwaka huu,nimechaguliwa saut tabora,shahada ya ualimu,na nimekosa pia mkopo.nikiangalia bodi,wanasema,sikupata mkopo kwa sababu nimemaliza fom six,miaka mitatu iliyopita.kipindi najaza fomu ya mikopo,hakukuwa na kigezo cha namna hiyo.leo nikose mkopo,ndo niambiwe hivo.wakati kuna watu wamemaliza shule,mwaka 2004,1995,na wengineo.ila mimi niliyeitimu 2007,naambiwa nimemaliza zamani.nataka kuacha tena chuo.babangu kafariki tangu 1989,mama hana uw
ezo,na yupo kijijini ukerewe.kwa mtu anayejua kusimamia sheria,anisaidie niweze kuishitaki bodi,ikiwezekana nirudishiwe garama zangu.namba yangu ni 0782822716
ndugu wana jamvi,mimi ni mojawapo ya watu waliokosa mikopo ya elimu ya juu.mwaka 2011,nilichaguliwa kujiunga chuo kikuu songea,shahada ya elimu.lakini niliacha masomo,baada ya kumaliza tu,semesta ya kwanza.hii ilitokana na kukosa mkopo.mwaka huu,nimechaguliwa saut tabora,shahada ya ualimu,na nimekosa pia mkopo.nikiangalia bodi,wanasema,sikupata mkopo kwa sababu nimemaliza fom six,miaka mitatu iliyopita.kipindi najaza fomu ya mikopo,hakukuwa na kigezo cha namna hiyo.leo nikose mkopo,ndo niambiwe hivo.wakati kuna watu wamemaliza shule,mwaka 2004,1995,na wengineo.ila mimi niliyeitimu 2007,naambiwa nimemaliza zamani.nataka kuacha tena chuo.babangu kafariki tangu 1989,mama hana uwezo,na yupo kijijini ukerewe.kwa mtu anayejua kusimamia sheria,anisaidie niweze kuishitaki bodi,ikiwezekana nirudishiwe garama zangu.namba yangu ni 0782822716
sasa unachocheka nn!?? unafurahi mwenzio kukosa mkopo!?? wewe kweli ni mwendawazimu, fikiria kwanza mwehu ww!
Asante,cheka sana tu
sasa unachocheka nn!?? unafurahi mwenzio kukosa mkopo!?? wewe kweli ni mwendawazimu, fikiria kwanza mwehu ww!
Kipi kikuchekecheshacho?
Asante,cheka sana tu
hahah POLE mkuu kwa kukosa mkopo.
May God give you according to your wish.just receive what you desire in Jesus name