Naombeni msaada wa sheria,naweza kuishitaki bodi ya mikopo?

Naombeni msaada wa sheria,naweza kuishitaki bodi ya mikopo?

Pole tupo wengi sana ambao tumenyimwa mikopo ya elimu ya juu,,mim mwenyewe nimechaguliwa UDSM main campus,lakin mkopo sina,ila sitaacha chuo,naenda,kitivo cha elimu nimepangiwa.mwakajana nilipata chuo kitivo hichohicho cha elimu,na chuo hichohicho cha UDSM,lakini mkopo pia walininyima,sikwenda kabisa,mwaka huu,naenda.najua nitasafa,lakini acha nikafie chuo,

mkuu siku zote ktk maisha ni lazma kuwe na vkwazo katka kufikia malengo hvyo basi juhud na maarifa vinatakiwa ktk kukabiliana na vikwazo hvyo,MUNGU Yu pamoja nasi hvyo tutashinda
 
ndugu wana jamvi,mimi ni mojawapo ya watu waliokosa mikopo ya elimu ya juu.mwaka 2011,nilichaguliwa kujiunga chuo kikuu songea,shahada ya elimu.lakini niliacha masomo,baada ya kumaliza tu,semesta ya kwanza.hii ilitokana na kukosa mkopo.mwaka huu,nimechaguliwa saut tabora,shahada ya ualimu,na nimekosa pia mkopo.nikiangalia bodi,wanasema,sikupata mkopo kwa sababu nimemaliza fom six,miaka mitatu iliyopita.kipindi najaza fomu ya mikopo,hakukuwa na kigezo cha namna hiyo.leo nikose mkopo,ndo niambiwe hivo.wakati kuna watu wamemaliza shule,mwaka 2004,1995,na wengineo.ila mimi niliyeitimu 2007,naambiwa nimemaliza zamani.nataka kuacha tena chuo.babangu kafariki tangu 1989,mama hana uw
ezo,na yupo kijijini ukerewe.kwa mtu anayejua kusimamia sheria,anisaidie niweze kuishitaki bodi,ikiwezekana nirudishiwe garama zangu.namba yangu ni 0782822716
..........
..........
...........
muulize kamanda lisu

........
 
ndugu wana jamvi,mimi ni mojawapo ya watu waliokosa mikopo ya elimu ya juu.mwaka 2011,nilichaguliwa kujiunga chuo kikuu songea,shahada ya elimu.lakini niliacha masomo,baada ya kumaliza tu,semesta ya kwanza.hii ilitokana na kukosa mkopo.mwaka huu,nimechaguliwa saut tabora,shahada ya ualimu,na nimekosa pia mkopo.nikiangalia bodi,wanasema,sikupata mkopo kwa sababu nimemaliza fom six,miaka mitatu iliyopita.kipindi najaza fomu ya mikopo,hakukuwa na kigezo cha namna hiyo.leo nikose mkopo,ndo niambiwe hivo.wakati kuna watu wamemaliza shule,mwaka 2004,1995,na wengineo.ila mimi niliyeitimu 2007,naambiwa nimemaliza zamani.nataka kuacha tena chuo.babangu kafariki tangu 1989,mama hana uwezo,na yupo kijijini ukerewe.kwa mtu anayejua kusimamia sheria,anisaidie niweze kuishitaki bodi,ikiwezekana nirudishiwe garama zangu.namba yangu ni 0782822716

hautaweza kuwashtaki bodi kwa kuwa ulisaini kwa kusema utakubali matokeo yoyote ambayo bodi watatoa, pia kuhusu swala la kozi kipaumbele ni tcu ndio walioanzisha mtindo huo na sio bodi ,hivyo bodi hawajawahi hata siku moja kiuandishi ama katika mkataba kusema kuwa ni lazima watawapa mikopo watu wote wa kozi kipaumbele, walichosema ni watatoa mkopo kulingana na 'uhitaji' wa muombaji neno ambalo kisheria lina jitoa katika kujifunga moja kwa moja, hizi sheria za ufaulu na kozi za kipaumbele huwa zinatumika pale wanapoona maombi yamekuwa mengi kulingana na bajeti.
 
HESLB ni mlango wa chuma kwa wasiojiweza, mie ni mhanga mwa wakosaji mikopo ila ninachokifanya saizi ni kwamba nadizaini ramani za nyumba na kuziuza kwa hasara ili mradi tu nipate chochote kusaidia kulipia tuisheni fii chuo, sasa labda kama ungekuwa mjasiriamali bsi ungekopa kwenye taasisi za mikopo nyingine alafu biashara yako ikawa rehani. Vumilia ila kuwa makini.
 
sasa unachocheka nn!?? unafurahi mwenzio kukosa mkopo!?? wewe kweli ni mwendawazimu, fikiria kwanza mwehu ww!

mkuu, mi pia ni mhanga wa hili janga. sijacheka kwa dharau mimi mwenyewe najua hilo, kwahiyo kama unaona nimefanya dharau its up to you,,,heri yako wewe usie Mwehu
nimekuheshimu tu.
 
Asante,cheka sana tu

Narudia tena pole kwa kukosa mkopo tuko pamoja.

kuishtaki bodi utakuwa unapoteza muda wako bure.. maana ndio haohao ni sawa unafanya kazi ya kubinya maji.

usijali sana Mungu yu nawe .
 
Pole sana ndugu ila nakushauri soma zile form za bodi ya mkopo(kama bado unazo) vizuri utaona kuna sehemu bodi inawalinda na wewe ulikubaliana na kile kilichoandikwa kwenye ile form
 
Kwa serikali inayoundwa na waongo, wanafiki na wazandiki unategemea nini, cha msingi tuombe mungu sisi tunao nyanyasika tusijiunge na al qae.... au al shab....
 
Jamani kesho ndo tunaelekea kwa mh.Rais kumalizia kipolo cha mpaka kieleweke,tumektana na uongozi wanaohuska tumeambiwa rais ametoka ameelekea pwani hvyo tukaambiwa kurudi kesho tarehe 10 alhamis saa tatu hasubuh.mnaombwa wote kufka na kuonyesha umoja we2.kama kuna unaemfahamu mfahamishe tafadhali, Nawasilisha
 
Back
Top Bottom