Naombeni msaada wa sheria,naweza kuishitaki bodi ya mikopo?

May God give you according to your wish.just receive what you desire in Jesus name

nawashukuru wote kwa ushauri wenu,hata mliotoa kejeli pia,nashukuru,kwani dunia duara.
 

mkuu siku zote ktk maisha ni lazma kuwe na vkwazo katka kufikia malengo hvyo basi juhud na maarifa vinatakiwa ktk kukabiliana na vikwazo hvyo,MUNGU Yu pamoja nasi hvyo tutashinda
 
..........
..........
...........
muulize kamanda lisu

........
 

hautaweza kuwashtaki bodi kwa kuwa ulisaini kwa kusema utakubali matokeo yoyote ambayo bodi watatoa, pia kuhusu swala la kozi kipaumbele ni tcu ndio walioanzisha mtindo huo na sio bodi ,hivyo bodi hawajawahi hata siku moja kiuandishi ama katika mkataba kusema kuwa ni lazima watawapa mikopo watu wote wa kozi kipaumbele, walichosema ni watatoa mkopo kulingana na 'uhitaji' wa muombaji neno ambalo kisheria lina jitoa katika kujifunga moja kwa moja, hizi sheria za ufaulu na kozi za kipaumbele huwa zinatumika pale wanapoona maombi yamekuwa mengi kulingana na bajeti.
 
HESLB ni mlango wa chuma kwa wasiojiweza, mie ni mhanga mwa wakosaji mikopo ila ninachokifanya saizi ni kwamba nadizaini ramani za nyumba na kuziuza kwa hasara ili mradi tu nipate chochote kusaidia kulipia tuisheni fii chuo, sasa labda kama ungekuwa mjasiriamali bsi ungekopa kwenye taasisi za mikopo nyingine alafu biashara yako ikawa rehani. Vumilia ila kuwa makini.
 
sasa unachocheka nn!?? unafurahi mwenzio kukosa mkopo!?? wewe kweli ni mwendawazimu, fikiria kwanza mwehu ww!

mkuu, mi pia ni mhanga wa hili janga. sijacheka kwa dharau mimi mwenyewe najua hilo, kwahiyo kama unaona nimefanya dharau its up to you,,,heri yako wewe usie Mwehu
nimekuheshimu tu.
 
Asante,cheka sana tu

Narudia tena pole kwa kukosa mkopo tuko pamoja.

kuishtaki bodi utakuwa unapoteza muda wako bure.. maana ndio haohao ni sawa unafanya kazi ya kubinya maji.

usijali sana Mungu yu nawe .
 
Pole sana ndugu ila nakushauri soma zile form za bodi ya mkopo(kama bado unazo) vizuri utaona kuna sehemu bodi inawalinda na wewe ulikubaliana na kile kilichoandikwa kwenye ile form
 
Kwa serikali inayoundwa na waongo, wanafiki na wazandiki unategemea nini, cha msingi tuombe mungu sisi tunao nyanyasika tusijiunge na al qae.... au al shab....
 
Jamani kesho ndo tunaelekea kwa mh.Rais kumalizia kipolo cha mpaka kieleweke,tumektana na uongozi wanaohuska tumeambiwa rais ametoka ameelekea pwani hvyo tukaambiwa kurudi kesho tarehe 10 alhamis saa tatu hasubuh.mnaombwa wote kufka na kuonyesha umoja we2.kama kuna unaemfahamu mfahamishe tafadhali, Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…