Hapa rafiki nakuunga mkono, ingawa huu ukweli unauma sana. lakini mjue hata sisi hatukuumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja (wote si ni binadamu!!!!) lakini tunaamua tu kujiheshimu tukijua kuwa MIILI YETU NI HEKALU LA BWANA!!

Umeona FP, hebu watuambie vizuri kama sisi tunawea tukaamua kutulia na mume mmoja??
Why not them??
Karibu kwetu Mtoni Kijichi:::-
BTW: Who knows what tomorrow has to offer??
Okay so kuna uwezekano au room ya kuwa na exceptions eh..(If all other factors remain constant...............)
Umeona FP, hebu watuambie vizuri kama sisi tunawea tukaamua kutulia na mume mmoja??
Why not them??
Unamaanisha nini LD.....i dont get you here.....hata FP simwelewi......:A S 13::A S 13:
Fixed point hapo kwenye RED naona unalazimisha tu ila ukweli unabaki pale pale..!! Ivi ulishawai kuona mtetea (kuku) yupo katikati ya majogoo na hakuna ngumi hapo?Hapa rafiki nakuunga mkono, ingawa huu ukweli unauma sana. lakini mjue hata sisi hatukuumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja (wote si ni binadamu!!!!) lakini tunaamua tu kujiheshimu tukijua kuwa MIILI YETU NI HEKALU LA BWANA!!
Umeona FP, hebu watuambie vizuri kama sisi tunawea tukaamua kutulia na mume mmoja??
Why not them??
NO ONE KNOWS
Sasa kyabushaija, kwa nini wanaume nyie mnataka sisi tuwe waaminifu kwenu tuwavumilie,
lakini mnatutenda kiasi hiki?? Na kwa nini mtu kama huyu baba achukulie udhaifu wa huyu mama, mlango wa kwenda huko
nje ya ndo?? Kwa nini asimvumilie, akamsaidia, akamwezehe na yeye akawa walau na kaufahamu na hizi nyakati za doti comu??
Hata mimi nimejikuta namlaumu huyu baba zaidi MJ1, halafu fikuiria na uzee huu,
mtu anajikatia tamaa, mpaka house girl anamdharau.
Anaishia kuona bora akae peke yake tu bila house girl.
Na mikazi ya nyumbani inavyochosha.
Unamaanisha nini LD.....i dont get you here.....hata FP simwelewi......:A S 13::A S 13:
LD,
You can not be serious! Hivi enzi hizi kuna mwanamke anaweza kutulia na mwanamume mmoja?
Let us be VERY HONEST {I'm not trying to offend any woman out there by the way}!
hakuna la zaidi hapo LD zaidi ya kujiendekeza.................. mi siamini kama huko nje wanapata zaidi ya wanayopata majumbani kwao
Fixed point hapo kwenye RED naona unalazimisha tu ila ukweli unabaki pale pale..!! Ivi ulishawai kuona mtetea (kuku) yupo katikati ya majogoo na hakuna ngumi hapo?
Tuna maanisha hivi, mwanamke anaweza akajikana akawa mwaminifu kwa mume wake, akavumilia changamoto na udhaifu wa mume wake.
Lakini mwanaume yeye kwa nini hawezi kufanya hivo?
Wakati mwingine wanatumia udhaifu wa mwanamke kama mlango wa kutoka nje ya ndoa???
Mfano baba huyu!!!!
Umeamua tu kutokutuelewa St. RR, ni kwamba muamue kujituliza kwa wake zenu kama wake zenu wanavyoamua kujituliza kwenu, hayo yote ni maamuzi tu
Kweli FP,manake wanajisahau sana....hakuna sehemu imeandikwa wanawake ni wa mwanaume mmoja,yatupasa wote kuheshimu commitment na viapo vyetu mbele za Mungu...kinachouma ni kuwa hata kujitahidi wanaume wengi hawajitahidi...ni kitu kimekubalika ndani ya nafsi yao....hii inakatisha tamaa.....na ndo maana kuna wanawake wakichoka nao wanakwenda nje....kwa kuwa wanaume wao hawawaridhishi....ashatoka zake nje huko anarudi home hata nguvu hana......