Naombeni msaada wapendwa!!!!!

Naombeni msaada wapendwa!!!!!

Hapa rafiki nakuunga mkono, ingawa huu ukweli unauma sana. lakini mjue hata sisi hatukuumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja (wote si ni binadamu!!!!) lakini tunaamua tu kujiheshimu tukijua kuwa MIILI YETU NI HEKALU LA BWANA!!

Umeona FP, hebu watuambie vizuri kama sisi tunawea tukaamua kutulia na mume mmoja??
Why not them??
 
Kweli FP,manake wanajisahau sana....hakuna sehemu imeandikwa wanawake ni wa mwanaume mmoja,yatupasa wote kuheshimu commitment na viapo vyetu mbele za Mungu...kinachouma ni kuwa hata kujitahidi wanaume wengi hawajitahidi...ni kitu kimekubalika ndani ya nafsi yao....hii inakatisha tamaa.....na ndo maana kuna wanawake wakichoka nao wanakwenda nje....kwa kuwa wanaume wao hawawaridhishi....ashatoka zake nje huko anarudi home hata nguvu hana......
 
Unamaanisha nini LD.....i dont get you here.....hata FP simwelewi......:A S 13::A S 13:
 
Karibu kwetu Mtoni Kijichi:::-

BTW: Who knows what tomorrow has to offer??

NO ONE KNOWS
Sasa kyabushaija, kwa nini wanaume nyie mnataka sisi tuwe waaminifu kwenu tuwavumilie,
lakini mnatutenda kiasi hiki?? Na kwa nini mtu kama huyu baba achukulie udhaifu wa huyu mama, mlango wa kwenda huko
nje ya ndo?? Kwa nini asimvumilie, akamsaidia, akamwezehe na yeye akawa walau na kaufahamu na hizi nyakati za doti comu??
 
Okay so kuna uwezekano au room ya kuwa na exceptions eh..(If all other factors remain constant...............)

mi sitaki kuamini kama ni ''a must'' theory....

hata jamii ikiiweka hiyo kuwa theory i will do all i can to look for an exception room!....siko tayari kuishi hivyo kwa sasa
 
Umeona FP, hebu watuambie vizuri kama sisi tunawea tukaamua kutulia na mume mmoja??
Why not them??

hakuna la zaidi hapo LD zaidi ya kujiendekeza.................. mi siamini kama huko nje wanapata zaidi ya wanayopata majumbani kwao
 
Unamaanisha nini LD.....i dont get you here.....hata FP simwelewi......:A S 13::A S 13:

Tuna maanisha hivi, mwanamke anaweza akajikana akawa mwaminifu kwa mume wake, akavumilia changamoto na udhaifu wa mume wake.
Lakini mwanaume yeye kwa nini hawezi kufanya hivo?
Wakati mwingine wanatumia udhaifu wa mwanamke kama mlango wa kutoka nje ya ndoa???

Mfano baba huyu!!!!
 
Hapa rafiki nakuunga mkono, ingawa huu ukweli unauma sana. lakini mjue hata sisi hatukuumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja (wote si ni binadamu!!!!) lakini tunaamua tu kujiheshimu tukijua kuwa MIILI YETU NI HEKALU LA BWANA!!
Fixed point hapo kwenye RED naona unalazimisha tu ila ukweli unabaki pale pale..!! Ivi ulishawai kuona mtetea (kuku) yupo katikati ya majogoo na hakuna ngumi hapo?
 
Umeona FP, hebu watuambie vizuri kama sisi tunawea tukaamua kutulia na mume mmoja??
Why not them??

LD,

You can not be serious! Hivi enzi hizi kuna mwanamke anaweza kutulia na mwanamume mmoja?

Let us be VERY HONEST {I'm not trying to offend any woman out there by the way}!
 
NO ONE KNOWS
Sasa kyabushaija, kwa nini wanaume nyie mnataka sisi tuwe waaminifu kwenu tuwavumilie,
lakini mnatutenda kiasi hiki?? Na kwa nini mtu kama huyu baba achukulie udhaifu wa huyu mama, mlango wa kwenda huko
nje ya ndo?? Kwa nini asimvumilie, akamsaidia, akamwezehe na yeye akawa walau na kaufahamu na hizi nyakati za doti comu??

Hizo bold ndo zakufanyia kazi tunaonewa sana wanawake siku zote
 
Hata mimi nimejikuta namlaumu huyu baba zaidi MJ1, halafu fikuiria na uzee huu,
mtu anajikatia tamaa, mpaka house girl anamdharau.
Anaishia kuona bora akae peke yake tu bila house girl.
Na mikazi ya nyumbani inavyochosha.

LD; Inawezekana umekuwa karibu zaidi na huu Mama na umeona unyonge na masikitiko yake lakini siku moja ungejaribu kukaa na huyu baba huenda ukasikia mambo ambayo yatakutoa machozi. Hii ndoa ina miaka takribani 50, lazima kuna chanzo cha tatizo; inawezekana hapa tunazungumzia matokeo ya tatizo. Kuna mambo mengi sana yanaweza kutokea ndani ya miaka 50, inawezekana wanandoa hawa walipoanza maisha wote walikuwa katika level moja ya elimu; lakini baba aliamua kuchukua hatua za kujiendeleza na Mama hakuona umuhimu wa kuunga hizo mbio na hatimaye kujikuta ameachwa mbali sana.
 
Unamaanisha nini LD.....i dont get you here.....hata FP simwelewi......:A S 13::A S 13:

Umeamua tu kutokutuelewa St. RR, ni kwamba muamue kujituliza kwa wake zenu kama wake zenu wanavyoamua kujituliza kwenu, hayo yote ni maamuzi tu
 
LD,

You can not be serious! Hivi enzi hizi kuna mwanamke anaweza kutulia na mwanamume mmoja?

Let us be VERY HONEST {I'm not trying to offend any woman out there by the way}!

Nitake radhi rafiki..........................
 
hakuna la zaidi hapo LD zaidi ya kujiendekeza.................. mi siamini kama huko nje wanapata zaidi ya wanayopata majumbani kwao

Sijawahi kukugongea thanks leo nakupatia hii
The Following User Says Thank You to Fixed Point For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
Fixed point hapo kwenye RED naona unalazimisha tu ila ukweli unabaki pale pale..!! Ivi ulishawai kuona mtetea (kuku) yupo katikati ya majogoo na hakuna ngumi hapo?

Kimey bana......haya mkubwa.......mi sijawahi kuona....l.o.l
 
Tuna maanisha hivi, mwanamke anaweza akajikana akawa mwaminifu kwa mume wake, akavumilia changamoto na udhaifu wa mume wake.
Lakini mwanaume yeye kwa nini hawezi kufanya hivo?
Wakati mwingine wanatumia udhaifu wa mwanamke kama mlango wa kutoka nje ya ndoa???

Mfano baba huyu!!!!

Umeamua tu kutokutuelewa St. RR, ni kwamba muamue kujituliza kwa wake zenu kama wake zenu wanavyoamua kujituliza kwenu, hayo yote ni maamuzi tu

Is this moral or biological.....LD+FP....
 
Kweli FP,manake wanajisahau sana....hakuna sehemu imeandikwa wanawake ni wa mwanaume mmoja,yatupasa wote kuheshimu commitment na viapo vyetu mbele za Mungu...kinachouma ni kuwa hata kujitahidi wanaume wengi hawajitahidi...ni kitu kimekubalika ndani ya nafsi yao....hii inakatisha tamaa.....na ndo maana kuna wanawake wakichoka nao wanakwenda nje....kwa kuwa wanaume wao hawawaridhishi....ashatoka zake nje huko anarudi home hata nguvu hana......

hawawezi kujitahidi maana mawazoni mwao wameshajiwekea hawajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja
 
LD,

You can not be serious! Hivi enzi hizi kuna mwanamke anaweza kutulia na mwanamume mmoja?

Let us be VERY HONEST {I'm not trying to offend any woman out there by the way}!

wapo,am one of them, hivi K..... wewe ina maana hata mke wako unaamini/hutaamini kama ni wako peke yako? lets be honest!!
 
Tuna maanisha hivi, mwanamke anaweza akajikana akawa mwaminifu kwa mume wake, akavumilia changamoto na udhaifu wa mume wake.
Lakini mwanaume yeye kwa nini hawezi kufanya hivo?
Wakati mwingine wanatumia udhaifu wa mwanamke kama mlango wa kutoka nje ya ndoa???

Mfano baba huyu!!!!

Sina kawaida ya kugonga thanks ila leo nakugongea soma hapa chini

The Following User Says Thank You to LD For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
Fixed point hapo kwenye RED naona unalazimisha tu ila ukweli unabaki pale pale..!! Ivi ulishawai kuona mtetea (kuku) yupo katikati ya majogoo na hakuna ngumi hapo?

tukiiweka hiyo kwa binadamu ni sawa kabisa, ndo maana hata mwanaume akiwa kati ya wanawake, ngumi zinatokea. mbona mnaenda kwa kificho kama ni obvious?
 
Back
Top Bottom