Naombeni msaada wapendwa!!!!!


Hivi hii thread ilikuwa inazungumzia maswala ya imani?

Niliweka angalizo kuwa msimamo wangu hauusiani na imani yoyote ya dini wala misimamo ya mashirika ya utetezi wa maswala ya jinsia!

Amani iwe kwako Mfalme wa Amani. Ila nasikitika kukuhakikishia kuwa hali ndiyo hiyo, wewe mwenyewe ukiwa mhanga wa hali hiyo.
 
Nami nami nawaambia ni bora uwe baridi au moto kuliko vuguvugu.....!!
 

Mie siwezi dear ngumu mno bana aaahhh unajua kabisa jamaa anachakachua kando aaaaiiii mie siwezi
 


Ok ok, babu, apart from Imani na mambo yahusuyo Imani.
Unamhauri nini huyu mother house akifanye ili awe na furaha na siku zake zilizobaki??
 

ole wenu wapotoshaji wa kondoo wa bwana......!adhabu yenu ni kali sana mbele ya muumba

ole wenu mnaohukumu......!kwa maana imeandikwa USIHUKUMU....USIJE UKAHUKUMIWA


ZUNGUMZENI UKWELI
 
Babu ni kweli hapa thread itachakachuka..hebu nisaidie kuweka link ya ile thread ya Are we fighting the lost Battle kama sikosei hili la nature lilizungumziwa sana humu.
 
Nami nami nawaambia ni bora uwe baridi au moto kuliko vuguvugu.....!!

Kwa jinsi ilivyo vigumu mtu kuyarudia matapishi yake, ukiwa vuguvugu, nitakutapika utoke kinywani mwangu.......Asema Bwana!
 
una heri wewe unaesadiki........!
Na wale watu wakamuuliza je wewe sio mmoja kati ya wale wanafunzi wake?
Akajibu na kusema hakika simjui mtu huyo...!!!
 
ole wenu wapotoshaji wa kondoo wa bwana......!adhabu yenu ni kali sana mbele ya muumba

ole wenu mnaohukumu......!kwa maana imeandikwa USIHUKUMU....USIJE UKAHUKUMIWA


ZUNGUMZENI UKWELI

Nakuunga mkono kabisa
 
Hapa ndipo ninapochoshwa kabisa na hukumu za MUNGU anaposema kuwa dhambi zote ni sawa mbele zake....hapa tunahukumu dhambi ipi??
 
Kwa jinsi ilivyo vigumu mtu kuyarudia matapishi yake, ukiwa vuguvugu, nitakutapika utoke kinywani mwangu.......Asema Bwana!

Kile kiingiacho kinywani mwako si najisi bali kile kitokacho kinywani mwako ndio najisi
 
USHAURI KWA HUYO MAMA......!

''...if you are going through the HELL....just keep going,there is always an exit door far far ahead....''

ninachokijua mimi ni kwamba zinaa anayoifanya huyo baba ni matokeo ya kushindwa kumchagua a right person ''kama hafanyi kwa tamaa za kimwili''

lakini pia.....(POTELEA MBALI MI NAOMBA NIWE MKWELI TU)....matokeo ya zinaa anayoifanya huyo baba ni MAKUBWA SANA(hapa tunaweka imani chini tunazungumzia DEATH AND LIFE BUSSINESS)

acheni masihara ninyi watu.......
 
Hii heading ya thread na thread yenyewe vina-CONTRADICT

Nani anayeomba kusaidiwa hapa LD au?
 
Asiyekuwa na dhambi na awe wa kwanza kumrushia mama huyu jiwe!

na mbona umesahau kumalizia na...dhambi zako zimesamehewa.nenda kwa amani na USIZINI TENA!!! nyumba ndogo amepokea msamaha wa dhambi zake..asepe na kumuacha mama house atese na mumewe banaa! Hahaha.
 
Ni vema kuona m2 ambae mnaendana kielimu au muwe mmepishana kidogo kwa sababu it wil reach a point the husband or wife will start despising the other just because of those educational difference but if it hapened umeoa mke asiye na elimu you have to accept the situation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…