Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
enyi kizazi cha nyoka......!
angalieni na kuweni makini sana na aina ya Dunia ambayo mnajitengenezea na kuihalalisha.........!
msiwe na mioyo migumu kama wazee wenu kule MERIBA.......!
tafadhalini sana wandugu.
sio mpango wa mungu kuihalalisha ZINAA chini ya jua
haya mambo yafanywe lakini ikumbukwe kuwa ni dhambi kubwa
Hivi hii thread ilikuwa inazungumzia maswala ya imani?
Niliweka angalizo kuwa msimamo wangu hauusiani na imani yoyote ya dini wala misimamo ya mashirika ya utetezi wa maswala ya jinsia!
Amani iwe kwako Mfalme wa Amani. Ila nasikitika kukuhakikishia kuwa hali ndiyo hiyo, wewe mwenyewe ukiwa mhanga wa hali hiyo.