Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
wakati mwingine nawaangaliaga tu wanavyojisifia kuchukua wanawake wengi, yaani kama sifa vile. huko ni kuudharau mwili wako na kujishushia thamani. hivi unajisikiaje mwili wako ukiwa ni kwa ajili ya mkeo tu! yaani hakuna kinyago chochote huko mtaani kinachoweza kuona mwili wako isipokuwa mkeo? kwanza mimi naona unakuwa confident, unachapa kazi, mawazo yanakuwa kwa mtu mmoja tu, hakuna pressure, yaani raha tupu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Hiyo red:
Halafu mie huwa nashangaa unakuwa na wanawake wengii kila mtu unamvulia c**** yako na wanaijua hiyo kitu yako ilivyo sijui wanaona sifa?? Unapita barabarani watu kumi wanajua kitu yako ikoje?? Aahh mie sipendi bwana