Naombeni msaada wapendwa!!!!!

Naombeni msaada wapendwa!!!!!

Duh..................kwa heri.

ha ha ha ha,ndo ukweli....unajiuliza hivi mme/mpenzi wangu anajielewa kweli na kimbilimbi chake? manake ni kama hakipo wala hakikuridhishi lakini ile kuheshimu kiapo na Mungu.....unavumulia tu.....lakini yeye huyo anakirusha rusha huko nje kwa wapenda hela.....agrrrrrrrrrrr!
 
hii nimeandika tu MJI huwaga sina huo muda wa kukimbizana na mtu huo muda uko wapi maisha yenyewe yalivo na raha haya ila nataka tu waelewe tunajua wasifikiri sie ni wajinga ivo
Ephweee asavali maana leo ningelala na moyo wenye ukungu mpendwa wangu.
 
ha ha ha ha,ndo ukweli....unajiuliza hivi mme/mpenzi wangu anajielewa kweli na kimbilimbi chake? manake ni kama hakipo wala hakikuridhishi lakini ile kuheshimu kiapo na Mungu.....unavumulia tu.....lakini yeye huyo anakirusha rusha huko nje kwa wapenda hela.....agrrrrrrrrrrr!

Huwa hawakumbuki kabisa kama wanavyo wanajiona kumbe naweza mbona my wife katulia hawajui ni uvumilivu tu hakuna kingine akienda huko ndo balaa linapoanzia maana hawachelewi kugombana na kuanza kutangazwa sasa aibu inakuja home
 
Michelle mpenzi hakuna haja ya kuogopa ........si unaufahamu ule mstari usemao watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa?

Mwanamke awaye yote mwenye upendo na nia kwa mumewe hutafuta maarifa (Mtashangaa wanaokwenda kwa waganga) but all in all anajaribu kumlinda mumewe na kuilinda ndoa yake. Sisemi twende kwa waganga la hasa Mganga wetu ni Mmoja naye hashindwi na uchawi. Maarifa ya mwanamke katika kumlinda mumewe na ndoa yake si tu kujifunza namna ya kukata viuno chumbani wala namna ya kumvalia khanga moja na shanga bali pamoja na hayo na mengineyo kama ya usafi sijui upendo kujali n.k tunapaswa pia kuwaweka kwenye maombi kila iitwayo leo..tusichoke na tunaahidiwa kuwa MUNGU atatenda miujiza juu yao na atawabadilisha kupitia maombi yetu.


Nashukuru kunipa moyo,ila kuna wamama wanamlilia Mungu mno my sister,kila siku lakini wanaume ndo kama wamefunguliwa kutoka kifungoni.....nina muamini Mungu sana ila kuna vitu waga najiuliza mara tatu tatu......kwanini wanawake tena wale wenye heshima na mapenzi ya kweli kwa waume zao,yanawakuta magumu hivyo????kweli tuzidi kuomba tu manake kikomba hiki hakiepukiki......ila honestly,i do not see myself gettin married,its not there,yaani i have failed to accept it kabisaaaaaaaa!!!
 
MJI nafikiri tuanzishe chama kwa wale wenye watoto wa kiume tuanze kuwapa malezi ya kuthamini wanawake na kuwaheshimu tuanze nao wakiwa wadogo au unaonaje maana hawa viumbe huwa wanasahu wana mama, dada na wengine wanaofanana na hao wanowaumiza


Ephweee asavali maana leo ningelala na moyo wenye ukungu mpendwa wangu.
 
heeeeee umeitwa nini? mbona faster faster hivi K, umeanzisha kitu halafu unachapa lapa manake nini lakini?

naomba anzia kwa bi mkubwa then elekea sinza....l.o.l

Later's ,stay well and enjoy!

Michelle,

Imebidi nirudi kidogo

Kyabushaija kwa kifupi basi iite "Kyabu" - maana ukiita "K" "wakware wanastuka!
 
Michelle,

Imebidi nirudi kidogo

Kyabushaija kwa kifupi basi iite "Kyabu" - maana ukiita "K" "wakware wanastuka!

ha ha ha h ah haaaaaaaa Kyabu....we hutaki kwenda,baki na sisi basi......thanks,wakware wasipate la kusema....l.o.l:hand:
 
Mtazunguka weeeeee halafu mtarudi mtanikuta palepale nawasubiri......kupenda unavyopenda, hizi kingo ni za nini?
 
Duh - imebidi nibaki mdomo wazi!!! Comments zingine kiboko

Hivi Dena Amsi yupo hapa?
 
Duh - imebidi nibaki mdomo wazi!!! Comments zingine kiboko

Hivi Dena Amsi yupo hapa?

Dahh afadhali umekuja maana nilikoseshwa raha na mtu mmoja humu acha tu.

Comments zina ukweli ndani yake
 
Swali la kizushi kwako LD...
Hivi kama LG ni Life's Good...
LD itakuwa Life's Dangerous?:confused2:
 
1.Je huyu baba alikosea kumuoa mke ambaye hana kiwango cha elimu zaidi ya elimu ya msingi??

2.Je kwa nini huyu baba asimwendeleze huyu mama/mke wake kielimu kidogo ili aweze kuchangamsha akili kidogo?

3. Je ni vizuri mtu kuoa/kuolewa na mtu ambaye walau akili zenu zinaendena katika utendaji wa mambo hasa ukizingatia mipango na maono yako ya maisha?

4. Je huyu baba anafanya makosa kumfanya mpango wake wa kando mshauri wa mipango yake ya maendeleo zaidi ya mke wake?

Mwisho: Unamshauri nini huyu mama mwenye nyumba, ili aweze kuishi kwa furaha na amani katika ndoa yake?


Mbarikiwe!!!

LD: Cheers; thread imekaa vema na big up sana kuleta issue hii:

1. Elimu si Kigezo cha Ndoa wala mapenzi. Mke wangu alikuwa na Diploma wakati na muoa wakati huo mimi nikiwa na Diploma kadhaa; na Degree kadhaa. what i know naye hakuweza kumanage Biashara zote nilizomwanzishia au za familia nilizomkabidhi. So, nilichofanya, kikampelekea shule, kabiga Advance Diploma na sasa anapiga degree na akili yake imekomaa. Tunaenda sambamba katika mambo mengi ingawa si kwa level moja. Ninayo mifano mingine kadhaa kama hii. So, the guy was wrong.

2. Hili nawezekana na huyu Bwana ndiyo ilimpaswa kufanya. inawezekana labda mapenzi ya Mr yako zaidi kwa nyumba ndogo hivyo nyumba kubwa haina priority. By the way, huyu Bwana ana watoto na wanawake hao wote?

3. Kila inapowezekana muoe mtu ambaye mnalingana interest za maisha, na upeo wa kufikiri. mambo kama kufanana dini na tamaduni pia yanasaidia ingawa si sana. Kama mapenzi ni makubwa, factors hizo hazina umuhimu kwani mengine yote yanajengwa juu ya mapenzi. Shida yenu wanadamu, wengi mapenzi yanapungua with time na kubaki mazoea. katika stage hii kufanana upeo, akili na interest inakuwa ni kitu pekee cha kuzidi kuwaweka karibu na hivyo mnakuwa marafiki pia.

4. Anafanya makosa kijamii na kidini. Ilifaa kabisa amuendelezea Mamaa na pia kujenga zaidi mapenzi kwake na kumsaidia kwa kutumia mbinu mbalimbali. Kama nyumba ndogo ina akili ya kibiashara bado angwezeka kupewa kazi lakini chini ya uangalizi wa wote ili kuhakikisha mpango wa kando haufurukuti. Je huyu Mama, naye alifanya jitihada yoyote ya kutaka kujiendeleza?

Huyu mama mwenye nyumba afanye yafuatayo:

1. Amweleze mumewe anafyofanya si vema na haikubaliki
2. asposikia amuitie vikao vya wazazi au Machungaji
3. Afanye jitihada ya kujiendeleza kielemi na kujifunza ujasiliamali, hakuna kisichowezekana.
4. Ale sahani moja na Mr na kuhakikisha kuwa anatumia mbinu muafaka za medani ya Mapenzi kumrudisha mumewe ampende kama zamani.

Allien.
 
Nashukuru kunipa moyo,ila kuna wamama wanamlilia Mungu mno my sister,kila siku lakini wanaume ndo kama wamefunguliwa kutoka kifungoni.....nina muamini Mungu sana ila kuna vitu waga najiuliza mara tatu tatu......kwanini wanawake tena wale wenye heshima na mapenzi ya kweli kwa waume zao,yanawakuta magumu hivyo????kweli tuzidi kuomba tu manake kikomba hiki hakiepukiki......ila honestly,i do not see myself gettin married,its not there,yaani i have failed to accept it kabisaaaaaaaa!!!

Dada Michelle, ni kweli wanaume wanaumiza sana mioyo ya wamama, lakini naamini bado wapo wanaume waaminifu, ukimwomba Mungu atakupa mume aliye mwaaminifu my dear! Usikate tamaa....
 
haya ngoja nibadili avatar, msije mkaota bureeeeeeeeeee
ha ha ha ha ha
 
Swali la kizushi kwako LD...
Hivi kama LG ni Life's Good...
LD itakuwa Life's Dangerous?:confused2:

Ha ha ha ha ha ha!!!! Noooo In deed!!!
Life Direction!!!!!!
 
Kwa mawazo yangu huyo baba hakukosea kumuoa huyo mama and i think they make a perfect match, ndio maana hadi leo huyo mwanaume hajamuacha mke wake na kuoa huo mpango wa kando coz he understands his wife better ila mazingira yamechangia yeye kujihusisha na huo mpango wa kando.

Pili, after all those years sioni haja ya kumshauri huyo mother house ajienroll na masomo yoyote kwa sasa kwani hali aliyonayo sasa ie inferiority complex haitaisha, i think a gud way is for friends like you LD to help the woman boost her confidence.

Kwasasa nadhani hali sio mbaya ila shida itajitokeza God forbid kama itatokea huyo baba akafariki, ugomvi wake utakuwa balaa. Mshauri huyo baba aandike wosia akigawa hizo mali kwa wanawake wote na watoto wote.
 
Back
Top Bottom