Windows 8.1 pro,nikienda huko kwenye setting inataka niweke NEW PRODUCT KEY sasa mimi sina hizo new product key,nazipataje na je ikifikia tarehe ya ku expire sitapoteza vitu vya humu kwenye hii pc? ama ni athari gani itatokea.
Bei sio kubwa mkuu, huko kwao ilipotengenezwa ni income ya mtu ya masaa kadhaa. Na ukinunua windows mara moja unakaa nayo mpaka unakufa. Alienunua win 7 2009, ame upgrade kwenda win 10 bure na anaruhusiwa pia ku upgrade kwenda win 11 bure. Miaka yote hio zaidi ya 11 unapata updates na service kibao bila kulipia tena.
Windows usipolipia utakuwa tu huwezi kubadili wallpaper na rangi za menu Ila utatumia kama kawaida. Na hio wallpaper Yenyewe Ipo Njia ya kubypass.