Naombeni msaada wenu, Kila mwaka inabidi niende TRA kufanyiwa makadirio ya duka?

Naombeni msaada wenu, Kila mwaka inabidi niende TRA kufanyiwa makadirio ya duka?

baada ya hapo unapewa document ipi kuashiria umeshakadiriwa ?

kuna malipo ukiwa huna deni ?
Kukadiriwa NI hatua ya kwanza bado kulipa , ukikadiriwa unapewa control number ya kulipia kiasi cha Kodi unayotakiwa kulipa ,
 
Na je kama nililipia Mwanzo then biashara ikanishinda? Natakiwa kwenda kuifunga?
Na kama nime delay labda miaka miwili madhara yake ninini?
Nenda TRA Utoe taarifa biashara umeacha , ukikaa kimya deni lako linahesabika kila mwaka , , Siku ukirud kwenye biashara wakiingiza TIN NUMBER yako watakuta deni la miaka ya nyuma utalazimika kulipa kwanza
 
Aisee
Ahsante Sana.
 
Mimi nilifunga leseni yangu maana Kila ukienda Malipo yanaongezeka nilichobaki nna hela yao nimeweka siku wakipita wakanikuta nawapa hamsini yao wanaondoka siku wasiponikuta ndiyo mwaka umepita huo tunakutana tena mwakani
 
Back
Top Bottom