Nenda TRA Utoe taarifa biashara umeacha , ukikaa kimya deni lako linahesabika kila mwaka , , Siku ukirud kwenye biashara wakiingiza TIN NUMBER yako watakuta deni la miaka ya nyuma utalazimika kulipa kwanza

Mimi nilifunga leseni yangu maana Kila ukienda Malipo yanaongezeka nilichobaki nna hela yao nimeweka siku wakipita wakanikuta nawapa hamsini yao wanaondoka siku wasiponikuta ndiyo mwaka umepita huo tunakutana tena mwakani