Naombeni msaada wenu wa mawazo...kuhusiana na matokeo yangu


Tatizo hapo ni kwamba,huyu yeye hana hizo Principals 2(E,D,C,B and A) ana Principal 1 tu! . Japo ana zaidi ya points 2.5,vipi hapo unasemaje Maganga Mkweli?
 
Last edited by a moderator:

navyofahamu mimi bila kuwa na principal pass mbili huwezi kwenda university. Huyo bwana yeye ana moja tu.kwahiyo kwa ushauri wangu ajaribu kufuatilia advance diploma au diploma.
 
Kuapply kunaanza lini? Au hata sasa hv..
 
kuapply kunaanza lini? Au hata sasa hv..
si tayari ushapata matokeo anza kuapply nenda nbc kanunue ile vocha inauzwa elfu 30000/= na hakikisha unaitunza usitupe mpaka utakapo pata admission..
 
Hivi madogo wa siku hizi mnakuaje? Yaani kila mtu akija jamvini na maksi za kuunga unga au ndo kizaz cha facebook na twitter, yaani mtu anafeli hadi kiswahili na kingereza, hkl unapata div 3, kweli ukombozi bado ni safari ndefu,

Enzi zetu tena vyuo viwili tu udsm na mzumbe ilikuwa ukiwa kwenye necta kama unacheza na barcelona yaani full kupaki bus no mistakes na results zikitoka ni mabanda tu, yaani tukienda kuomba ushauri wa kozi kwanza tunapewa pongezi then tunaanza kuambiwa programs zilivyo
 
Kuapply kunaanza lini? Au hata sasa hv..

Sajy,kwa waliomaliza form 6 mwaka 2012,application zilianza punde baada ya kupata matokeo yao. Mwisho wa kuapply vyuo kupitia Central Admission System (CAS) ni tar 30/May. Na loan mwisho tar.30/June.
 
Last edited by a moderator:
Kuapply kunaanza lini? Au hata sasa hv..

Sajy,kwa waliomaliza form 6 mwaka 2012,application zilianza punde baada ya kupata matokeo yao. Mwisho wa kuapply vyuo kupitia Central Admission System (CAS) ni tar 30/May. Na loan mwisho tar.30/June.
 
Last edited by a moderator:
Nataka soma Barchelor of Arts With Education naombeni msaada chuo gani kitanifaaa III-15
HISTORY-S
GEOGRAPHY-E
KISWAHILI-D
G.S-S
 
nataka soma barchelor of arts with education naombeni msaada chuo gani kitanifaaa iii-15
history-s
geography-e
kiswahili-d
g.s-s
vyuo ni vingi ushauri pitia kile kitabu cha tcu guide 2012/2013 kina muongozo wote utaonq chuo ambacho kwa vigezo vyako na kozi unayoomba unaweza chukuliwa
 
Kuna jamaa yangu amekidownload japokuwa sijakiona, anasema hadi ualimu unapewa 50% na kila koz wameiwekea asimilia hapo hapo...
Plz refer @ mr.maganga
.
.
jana nilikutumia hii message naomba kama umeipata unijibu kwanza halafu nakushauri kama unataka mkopo na unaona uwezo wako ni mdogo OMBA HIZI KOZI ,Bachelor of Science in ReaL Estate (Financeand Investment) ,Bachelor of Science in Regional Development Planning HIZI KOZI NI NZURI NA UNAWEZA PATA MKOPO NA UNA VIGEZO VYOTE NAKUSIHI SANA CHUKUA TCU GUIDE BOOK ANGALIA ARDHI UNIVERSITY FUATA HIZI KOZI ANGALIA VIGEZO UTAONA VINAFAA WEWE SI WA KWANZA KUSHAURI KUHUSU HIZI NI KOZI NZURI NA HAZINA USHINDANI,
..
Kanambia hzo mbili ni NON-PRIORITY je ni kweli?
 
we not perfect u knw, hata wewe unayo mapungufu,haya mambo yanatokea. Kabla ya finals tulikuwa smart ila imebaki kuwa historia iliyosahaulika,
so kama vp chukulia poa, hujui kilicho mbele yako #imao
 
Nataka soma Barchelor of Arts With Education naombeni msaada chuo gani kitanifaaa III-15
HISTORY-S
GEOGRAPHY-E
KISWAHILI-D
G.S-S


....ndio maana kumbe walimu twadharauliwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…