Naombeni msaada wenu wajuzi

Naombeni msaada wenu wajuzi

uwesuporoto

Senior Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
116
Reaction score
58
Uume wangu kuna wakati unawasha kwa ndani yaani kwandani kidigo kutokea pale kwenye mdomo wa uume. Jinsi inavyowasha kama mgonjwa wa gono lakini sipati tabu wakati wa aja ndogo wala sitoi usaha
 
tafuta azuma
 
Gono ila domarnt
 
Nenda hospitali boss ukajue tatizo ni nini? Inaweza kua kaswende au uti ya kawaida au ikawa hali ya kawaida tu ya mwili
Usiende kununua dawa kabla hujajua tatizo ni nini..kapime tu hospitali
 
Back
Top Bottom