uwesuporoto
Senior Member
- Jun 2, 2017
- 116
- 58
Uume wangu kuna wakati unawasha kwa ndani yaani kwandani kidigo kutokea pale kwenye mdomo wa uume. Jinsi inavyowasha kama mgonjwa wa gono lakini sipati tabu wakati wa aja ndogo wala sitoi usaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tafuta azumaUume wangu kuna wakati unawasha kwa ndani yaani kwandani kidigo kutokea pale kwenye mdomo wa uume. Jinsi inavyowasha kama mgonjwa wa gono lakini sipati tabu wakati wa aja ndogo wala sitoi usaha
Gono ila domarntUume wangu kuna wakati unawasha kwa ndani yaani kwandani kidigo kutokea pale kwenye mdomo wa uume. Jinsi inavyowasha kama mgonjwa wa gono lakini sipati tabu wakati wa aja ndogo wala sitoi usaha
Matibabu yake yanakuwaje?Gono ila domarnt
Azuma ndio nn mkuutafuta azuma
dawa hiyo ugonjwa wa ngono huooAzuma ndio nn mkuu
Inapatikana kwenye maduka ya dawa??dawa hiyo ugonjwa wa ngono huoo
yaahInapatikana kwenye maduka ya dawa??
Duuh. Sikuwahi kuumwa hapo kabla kwaiyo inatibiwaje iyi UTIUti hiyo
Nitakwenda kuiuliziayaah
Azuma ni nn??tafuta azuma
Umetembea na MTU anayo, au vyoo vetu vileDuuh. Sikuwahi kuumwa hapo kabla kwaiyo inatibiwaje iyi UTI
Hautibiwi kwa kudungwa sindano maana mm na sindano ni vitu viwili tafautiUmetembea na MTU anayo, au vyoo vetu vile
Kuna dawa na sindano, kapime kwanza mkojoHautibiwi kwa kudungwa sindano maana mm na sindano ni vitu viwili tafauti
Hiyo dawa ni ipiKuna dawa na sindano, kapime kwanza mkojo
Sikuhizi hazipatikani Kama zamani zimekuwa Ni miongoni mwa dawa za kutibu TBtafuta azuma