God over everything
Member
- Feb 11, 2023
- 14
- 15
Jamani nimeshikika, Nadaiwa Kodi ya miezi mi3 na nimepewa Notice ya kuondoka tarehe 15
Tafadhali nisaidieni mchongo wa Kibarua chenye malipo kwa siku.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote Ile.
Mungu awatangulie π
Location: NIpo DSM
Tabata Saneneupo dar sehem gn?
Ajira zote serikalini zinatolea kimfumo. Ina maana ni hadi pale nafasi zitakapotangazwa ndipo ufanye maombi kupitia mfumo. Hakunaga ile just recommendation afu ndio uwe umepataHello wakuu...
naomba shuhuda ambae ashawahi volunteer hospitali ya serikali af akawa reccomended na akaajiliwa[emoji120][emoji120][emoji120]
yeahp nasema pale kipind wametoa dokezo kuwa afya watatoa nafasi za ajira miurugenzi wa hospitali akikureccommend kuwa ulikuw unavolunteer inaweza sound ukapata pia?Ajira zote serikalini zinatolea kimfumo. Ina maana ni hadi pale nafasi zitakapotangazwa ndipo ufanye maombi kupitia mfumo. Hakunaga ile just recommendation afu ndio uwe umepata