Naombeni msaada

Shida sio wateja hawataki kununua bali wewe hutaki wateja wanunue,kwanini nasema hvyo?

Kwanza wateja zako wafanye wawe marafiki pia vile vile usiwaogope,waingie waulize jaman kunani?nini mmeona ambacho labda ni kibaya?labda bidhaa yako bei juu na kuna sehemu kitonga,maana kuna wateja wengine hawasemagi wakisepa wamesepa.

Pili kama unasubilia mteja aje unachelewa,kwa bidhaa zako tembea mashuleni kama chizi waelimishe,wape mawasiliano yako na wewe chukua yao uweze waulizia ulizia kama wanahitaji huduma,lakini ukisema ujiulize sana unaweza pata jibu la kulogwa...,naomba nikanywe alikasuswi jion njema [emoji112][emoji112]
 
Lafudhi yako ipoje?.
 
Moja unapata commission ukishauza au a one time payment ?

Mbili kama ni recurring payment basi hata ukiuza hizo mbili tu kwa mwaka si ni Job well done ?; Vilevile pesa hio inasaidia vipi hao watu moneywise (unaweza ukasema gharama za uendeshaji ; Je Muhasibu atafukuzwa au aliyekuwa anafanya hayo sasa hivi atafanya nani ? Kwahio shida sio wewe ni product au bei ya hio product... / Au muitikio wa watu kwa product kutokana na mazoea

Tatu; Wabongo ni price sensitive jambo ambalo they can do it cheaply money-wise hata kama ni expensive kwa muda na ufanisi bado wataangalia pesa...

Nne learning curve hata kama unachofanya ni kizuri huenda kitahitaji watendaji kujifunza ambapo watendaje hao wasiwe willing sababu ni jambo jipya na huenda lina-athiri mirija yao ya upigaji hivyo hawatalikubali cha maana badala ya kuongea na mwenye shule pekee ongea na watendaji ili walione kwamba ni la kwao na wa-convince mmiliki (na hapo ni kama ni mali yako utapata pesa kila wanavyolipa na sio one off payment) au kama ni one off payment na ni nzuri sana basi endelea hata kama mwaka kesho wakiacha kulipa na kutupa mfumo wako kapuni wewe utakuwa umeshachukua chako....
 
Walikuwa wananilipa na wamekataa maana wamesema nawapa.hasara kunilipa comission na mshahara so wamefuta mshahara na wamebakiza asilimia tu
 
Walikuwa wananilipa na wamekataa maana wamesema nawapa.hasara kunilipa comission na mshahara so wamefuta mshahara na wamebakiza asilimia tu
Asilimia ni One off au Recurring ? Kama ni recurring angalau sababu mteja mmoja ukipata atakupatia fedha miaka yote (na hapo ni kama wanachouza kina retention kubwa huenda mtu akitumia anakiacha baada ya miezi miwili) au kama ni asilimia mara moja ni kubwa kiasi gani ? Sababu unaweza ukapewa milioni mbili lakini mpaka ukonvince watu umechukua miaka miwili hence hio pesa ukigawa kwa mwezi hata kujikimu unashindwa...; Ila kama ni mzuri katika kuuza labda kuwa na product zaidi ya moja zinazocompliment ukienda kuwapa issue ya software waambie pia na kuwauzia chaki au vifaa vya maabara (ambavyo utakuwa umeingia contract na suppliers ukiuza upate comission)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…