Naombeni msaada

So ni kama nafanya kazi ya hasara
 
Vipi kauli zako kwa wateja ziko vizuri??
 
So ni kama nafanya kazi ya hasara
Inategemea na wewe mwenyewe kama unaweza kupata wateja kwa urahisi (na kama commission unayopewa ni sawa na kazi unayofanya) ila kwa ushauri ukiwa unafanya kazi za hawa sababu hakuna basic pay basi fanya na nyingine unakwenda sehemu unakuwa na product hata kumi zinazo-complement...; Kwanini kama unauza majani ya chai uziuze maji na sukari pia (after all vyote vinapika chai) - Na since unachouza ni maneno (hakuna stock basi unaweza ukawa na bidhaa nyingi) mfano brochure ya chaki kwa bei rahisi; laboratory chemicals n.k. - Bila kusahau wabongo wapenda rushwa (kwahio ahadi za 10% kama deal litakubali)
 
Tuseme hii kazi asilimia inawafaa wenye kazi za ziada
 
Hongera kwa kutangaza biashara yako humu
 
Tatizo itakuwa unawalazimisha kununua. Unajua mwanadamu ukimlazimishia kununua kitu anapata hofu ya kukinunua.

Na kwa bidhaa unayoiuza, inahitaji uwe competent iyo sector ya ICT ili uaminike. Sasa wewe umeenda na maneno tu, hawatawrza kukuamini labda kama uende kiboss boss uuze kama hautaki vile.

Kwa kifupi sana,
Umeshindwa kuwaonesha why wanunue bidhaa yako, badala yake umewaonesha kuwa unataka/unashida ya kuuza bidhaa yako. So wameishusha thamani.
 
Chakushangaza baada yakukubali hii kazi hata hedhi ikakata nimeenda kila mahali hospitali ,sijui hapa pale ila naambiwa tu umelogwa yaani hadi sasa naumwa tu hedhi imehama hata daktari haoni cha kunisadia
Hata haujalogwa shostitolito.
Labda stress.
au menopothi๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ.

Sikia shoga angu kipenzi.
Hiyo kitu kuna wenzio tayari wanafanya ila bado ni kitu mpya kidogo hivyo naamini soko bado lipo.

Tembelea mashuleni/vyuoni ukawashawishi live wenye mashule.Kwa simu inakua ngumu kueleweka.

Kama unaamini hiyo kitu ni kitu WANAHITAJI bila wao kujua kama.wanahitaji,kama inawezekana wape hata mwezi mmoja wa bure ili waone vile wamechelewa kujua mambo mazuri.
Mungu akutangulie kipenzi.
 
Sawa mwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ