Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #41
So ni kama nafanya kazi ya hasaraAsilimia ni One off au Recurring ? Kama ni recurring angalau sababu mteja mmoja ukipata atakupatia fedha miaka yote (na hapo ni kama wanachouza kina retention kubwa huenda mtu akitumia anakiacha baada ya miezi miwili) au kama ni asilimia mara moja ni kubwa kiasi gani ? Sababu unaweza ukapewa milioni mbili lakini mpaka ukonvince watu umechukua miaka miwili hence hio pesa ukigawa kwa mwezi hata kujikimu unashindwa...; Ila kama ni mzuri katika kuuza labda kuwa na product zaidi ya moja zinazocompliment ukienda kuwapa issue ya software waambie pia na kuwauzia chaki au vifaa vya maabara (ambavyo utakuwa umeingia contract na suppliers ukiuza upate comission)